Je hii ni dawa au ndo ujinga wenyewe?

Je hii ni dawa au ndo ujinga wenyewe?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,203
922775_476414219109706_315859818_n.jpg


Picha ya Msichana na Mvulana waliojinyonga Kwa Pamoja Juu ya Mti Baada ya Kukataliwa na Wazazi wao Wasioane Kisa ni Kutoelewana kwa Familia Hizo.....JEEEEE ____????
A)NDIO DAWA
B)UJINGA
C)NDIO MAPENZI YA KWELI
 
Mi siongei kitu mkimaliza niiteni nisahihishe mjadala wenu.
 
duh me ningemtoroka maisha yalivyo matamu loh!!!!!!!!
Kaka zako ndio wameleeeeewa kwelikweli, kila siku wao ni kujiua kwa risasi na kuchoma nyumba.
Mi nilikuwa na bwana wa kichagga, mapenzi hajui,bahili na ana wivu ile mbaya, nikamwambia babu ehh, nimepata bwana jambazi, jipendeke akuvunjie duka lako.
 
Hayo ndo huitwa mapenzi tele..duh

Only exists in movies nowdays!!
 
mapenzi ni upofu hapo wamejihukumu hata mkiwalaumu hatasaidia jiulize wewee unafanyie nn mpenzi kama unaye kama huna siku ukikataliwa na wazazi utanyaje
 
Yaaani raha zote hizi nijiue???asee hata niwe nao hakuna iyo kitu!
 
Back
Top Bottom