Je, hii ndio mbinu mpya ya wanawake kujitongozesha?

Sasa mkuu na wewe si mtu mzima. Kakupenda anajaribu bahati yake.
Ipi hivi leo baada ya kufika kazini nikaona nitoke kidogo nikaingia mahali hili kuiweka akili sawa..

Nilipoingia nikakutana na dada mmoja (namfahamu) baada ya salamu akaniomba simu mimi nikampa nikijua labda kaishiwa salio au chaji kwenye simu yake na kuna mtu anataka kuwasiliana nae. Nilipompa nikawa namcheki tu,akaandika namba mara naona namba yangu inatokea kwenye simu yake(alijibeep)

Halafu akawa anaandika msg akaituma ikaingia tena kwenye simu yake,mimi namcheki tu.

Akanirudishia simu nilipokagua upande wa msg nikakuta alituma neno "mambo" nikanyamaza na yeye akaaga akasepa!

Baada ya kama lisaa napokea msg kwenye ile namba aliyojitumia "pw we nan" yaani kajitumia msg kwa simu yangu halafu badae anajijibu mwenyewe akifikiri sijagundua chochote

Sasa hivi ni anafululiza msg tu na simjibu hata moja!..

Naona hii ni mbinu mpya kwa dada zetu ili kutudaka kirahisi rahisi na tiyari tumesanukaa!!
 
Sasa kama kajileta mwenyewe unasubiri nini tena?

Ndiyo kusema hauna mzuka naye?

tuwekee screenshot mkuu tuone
Hyo "mambo" kajitumia na hzo nyinhine kaenda jijibu kwa simu yake
IMG_20190618_113634_663.jpeg
 
Joking tena. ..mwenzio ndio nilikuwa nime shaanza kujipanga hivi.... nime agiza mchemsho wa pweza nusu kilo. ..karanga robo. . Nazi na dumu la maji litre 5.........
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiogope mkuu (joking)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom