Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Pichani aliyevaa shati la Kitenge ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Kaliua,Mkoani Tabora Dr. Pima na aliyevaa ushungi wa Njao nyuma ya Mkurugenzi ni Afisa Ustawi wa Jamii Mwanahamisi (Kaliua)na alievalia shati la CCM kulia kwa Mkurugenzi ni mkuu wa wilaya ya Kaliua,Abel Busalama na hapo ni wako kwenye mkutano wa hadhara wa kujiandaa na uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji cha Ugansa kata ya Usinge Wilaya ya Kaliua, Tabora.
Sema Neno
Sema Neno