Je hii nayo ni shule?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii nayo ni shule?!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Himawari, May 21, 2009.

 1. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Nimeona hii picha nikajiuliza maswali mengi sana mojawapo likiwa, je hii nayo ni shule? Hii ndio hali halisi ya majengo ya shule ktk baadhi ya maeneno ya vijijini ndani ya Tanzania.
  Je kweli serikali iko serious kufuta ujinga ili hali miundo msingi ya elimu mf. majengo yana hali mbaya kiasi hiki?

  Wana JF, nawasilisha.
   

  Attached Files:

 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Atalia sana Waziri Mahiza, hadi machozi ya damu yamtoke mwaka huu, ahakikishe madarasa na mabweni ya aina hii hayapo ifikapo 2010 August. Kama ana uchungu sana na ni mzalendo ajiuzulu uwaziri hili lisipowezekana.
   
 3. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,181
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Je akimwaga machozi ndio shule zitachipu akama uyoga au?!
  Labda machozi yake yangekuwa pesa angeweza kujenga kabla ya Aug 2010.
   
Loading...