Je hii inamaanisha nini kwa mpenzi wako?

Je hii inamaanisha nini kwa mpenzi wako?

Mwanamke msomi (masters holder) mwenye hofu ya Ukimwi, alafu eti amuache spouse wake 'aende' peke yake akapime ngoma na amletee cheti tu??!!! Hakuna mtu mwenye mawazo-mgando kiasi icho kwa karne hii ya sasa.

Fictional story!! Mpelekee Shigongo, inaweza uza.

Kumbe we huwajui wanawake vizuri. Nishakutana na mwanamke Dr hospitali flani hivi tena kubwa nikamlazimisha apime ngoma, aliniletea vile vifaa wanavyopimia siku hizi na zile chemicals za kupimia akanifundisha namna ya kumpima, nikampima halafu wala hakuhitaji na mm nipime. Upo hapo!!!

Masters haina uhusiano wowote na mapenzi aisee, kwani unafikiri wanaogawa 0713 wote hawajui madhara yake? au wote hawajasoma?????? Au hawajui sheria??????
 
Sasa SWEEPER c ndo umalizie? Ama tutafute hitimisho wenyewe?
 
Last edited by a moderator:
Mwanamke msomi (masters holder) mwenye hofu ya Ukimwi, alafu eti amuache spouse wake 'aende' peke yake akapime ngoma na amletee cheti tu??!!! Hakuna mtu mwenye mawazo-mgando kiasi icho kwa karne hii ya sasa.

Fictional story!! Mpelekee Shigongo, inaweza uza.
Usimlaumu, alikuja na mawazo ya Kimarekani akijua Drs wanaheshimu maadiri ya ya udaktari mkuu, kumbe ndio hivyo tena, hii ni Bongo na kule ni Marekani!
 
ndege mjanja hunaswa na tundu bovu, safi sana hiyo, mambo ya kupima afya kwa wapendanao sio kwa kusurutishana, ni kujadiliana na kufikia makubaliano.
 
jamani huyo mdada mbona anarisk maisha yake hivyo? vitu kama hivyo unatakiwa uende nae mguu kwa mguu mkacheki then huyo mwanaume inaonekana katembea na watu ambao ni bad newz ndo maana anashindwa kuwa na uhakika hata wa afya yake KWELI KIPIMO CHA UKIMWI NI KIDOGO LAKINI HUWA KIKUBWA HASA PALE MTU ANAPOKUWA NA MWENENDO MBAYA.
 
Back
Top Bottom