SWEEPER
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 269
- 87
Salute kwa wapenzi wote wa Jukwaa la MMU! Hii ni true story na imenipa shida kidogo hebu toa mtazamo wako kulingana na hali halisi ya maisha ya ndoa. Nina best friend mwenye elimu ya kutosha na ameoa mke msomi na wana kazi na maisha mazuri tu. Miaka minne iliyopita mkewe alipata fursa ya kwenda kusoma Masters USA na jamaa akabaki bongo na mtoto wao mmoja waliozaa naye. Akiwa masomoni mkewe alipata taarifa kuwa mumewe amekuwa mlevi sana na ana mahusiano na vicheche wa mjini. Taarifa hizi alizipata kwa marafiki na ndugu zake pia ambao walifuatilia nyendo za shem wao baada ya mke kuwaomba wafanye hivyo. Alipompigia mumewe kumuuliza alikataa kabisa kuwa na tabia hizo. Mama aliendelea kupata hizo taarifa kutoka vyanzo vyake na kisha kumsihi mumewe asifanye upuuzi huo lakini taarifa mbaya ziliendelea kumfikia. Baada ya 2yrs za masomo mama alirudi nyumbani huku akiwa na hofu ya mumewe kutokana na aliyotaarifiwa, hakuwa na imani kabisa na usalama wa mumewe. Walipofika home ndipo mambo yalipoanza kuharibika. Mke: Mbo