Je hii imekaa poa?

klyn

Member
Jun 28, 2016
8
5
Habarini wapendwa..je hivi ni sahihi kwa mpnz wako kuweka ukaribu na x wake? Mfano anaumwa mpnz wako anamuhudumia labda kumpeleka hospital .. Sometym anamweka profile pic na akiulizwa anasema she/he just a friend ....
 
1469816239045.jpg
Mpe dozi kama hiyo hapo
 
Jamani honestly hua siwaelewi wale wanasema eti mmeachana Kwa heri ya nn vinyongo my dear your ex is an example of what you shouldn't have baadaye ukaribu huo vipi? Hao bado watakana ni Basi tu kumhudumia ex akiumwa hana ndugu au yeye ni babie? Sio sahihi Kwa mpenz wako kuweka ukaribu Na ex wake.
 
Mimi nilimuhudumia X wangu mpaka alipotoka hospital na kila nikiwa na enda hospital na mtaarifu niliye naye. Akiwa na muda tunaenda wote asipokuwa na muda naenda peke yangu .

Sijui kwa nini mahusiano siku hizi yamekosa UAMINIFU kabisa.

Kama mchumba wako huyo ni mtu wa kutoka nje ya mahusiano yenu atatoka tu hata ufanya nini. Iwe na X wake au mtu mwingine . Lakini Kama Si wa hivyo basi hatatoka .

Usihangaike na kujiumiza bure kumfuatilia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom