Je, hii bajeti italeta unafuu kwenye bei simenti?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,950
3,238
Wajameni, tutaishi kwenye nyumba za Tembe mpaka lini?

Hivi Ahadi za kushusha bei ya cementi zikoje?

Hii Budget italeta unafuu wa bei ya Cementi

Anaeweza kujua atuambie tafadhali.

Tunataka Kujua Mh. Rais wetu Mpendwa Magufuli kama amegusa hili
 
Back
Top Bottom