Je HESLB wanatoa mikopo kwa ajili ya masters?

Je HESLB wanatoa mikopo kwa ajili ya masters?

kamikaze

Senior Member
Joined
May 12, 2025
Posts
146
Reaction score
155
Habari wadau Naomba kufahamu kama kuna anayejua iwapo bodi ya mikopo wanatoa Pia na wanaofanya masters.
 
Iyo hela ya kufanya masters kafanye hata shughuli ya kilimo utapoteza hela yako bure na mda unaenda kwann usiende veta mapema sn ili utengeneze maisha yako mapema
 
Huu Uzi umejaa vilaza inaonekana elimu Tanzania sio kipaumbele zaidi ya Ajira au kutafuta Hela, hii nchi itakukua Maskini hvhv hata tukifufuka mwaka 2100
 
Huu Uzi umejaa vilaza inaonekana elimu Tanzania sio kipaumbele zaidi ya Ajira au kutafuta Hela, hii nchi itakukua Maskini hvhv hata tukifufuka mwaka 2100
Yani we acha tu mkuu Munch wa annabelletz47. Umeona majibu y’a wadau. Eti nishakua mzee. Kwani elimu ina mwisho?
 
Yani we acha tu mkuu Munch wa annabelletz47. Umeona majibu y’a wadau. Eti nishakua mzee. Kwani elimu ina mwisho?
Degree nimesoma na vizee vinne 50+ lakn humu wajinga wengi wanajua dunia ni kazi tu za halmshaur
 
Back
Top Bottom