Wanauza nyumba mbalimbali Daresalaam na ni nzuri sana zenye kuonekana zinathamani kubwa kwa milioni 35-80Wanauza nini na bei gani? Mfano tu.
Nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga.Mungu akubariki sanaMzee kwani Unataka Ununue nyumba online?
Si Mkishafika bei unakuja kuangalia ukijiridhsha ndio hatua zinaanza?
Wasi wasi ndio akiliii...
Kama hilo limekujia....
Basi tumia hilo hilo kua makini zaidi....
Wewe ukija futuhi...hakikisha hata km mnaenda kuongea tuu kwanza.
Tafuta Mwanasheria wako...
Msimamizi....
Kiongozi wa mtaa husika
Na wengne wote wanaohitajika kulingana na sheria au kiusalama zaidi...
Jitahid process zote zifuate sheria na zifanyike kiwazi wazi .....
Siku ya kuuziana nenden hata Polisi..
Wana trick nying sana hawa jamaa.....
Waweza uwashtukie Km hivi useme utakua makini....
Mwisho wa siku unaliwa kichwa.....
Kila la kheri....
Ila ukweli ni kwamba bei chee zilizopitiliza...
Nyingi mwisho wake ni Kutapeliwa.....
Kama unataka Umtumie..
Ndugu/rafiki afanye hio kazi.....
Hakikisha anafuata mambo hayo na mengne mengi....
Japo kaa ukijua Umakini wake na wako utakua tofauti....kwaio risk inaongezeka...
BTW km kweli unataka umtumie Ndugu/Rafiki akufanyie hio kazi, hii nayo ni inshu nyingne...
Tena pengne Kubwa zaidi ya tunayoiongelea hapa..
Wanauza nyumba mbalimbali Daresalaam na ni nzuri sana zenye kuonekana zinathamani kubwa kwa milioni 35-80
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu basi tupiako kapicha kanyumba chako kalichojengwa na material originalJenga Uza hizo nyumba, nje zimepigwa rangi nzuri , lakini ujengaji wake wa hovyo, sement mfuko mmoja matofali elfu, matofali mchanga mtupu, finishing wanatumia cheap, fake material, nyumba mbovu sana usibabaike na rangi, au bati la msouth. utakuja juta,