Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,310
Habari zenu wanajf,
Nimesikitishwa sana na mods kuitoa thread jadid ya ndugu Mohamed Said bila sababu ya msingi. Nasema bila sababu ya msingi kwakuwa hoja zilizoletwa mbele yetu tuzijadili hazikupata mchango mkuwa. Tumeona wanaoleta hoja hafifu dhidi ya "waislam" na "uislam" zimekuwa zikiachiwa na kujadiliwa mpaka kufika pages 40! mfano ni https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...waislamu-na-uislamu-wenyewe-kwa-tanzania.html thread hii sio kuwa inawalakini lakini ilifikia hata baadhi ya tunao waona ni wenzetu kwenye imani kudiriki kusema kuwa lugha tunayoitumia waislam ni moja ya wabaya wa uislamu! Astaghafirullah, hii ni sawa na kuikataa Quraan na kuukataa Uislam.
Lakini kwakuwa thread ile hakuwa na ukweli mchungu iliachiwa hii ya ndugu Mohamed Said imefungiwa kimya kimya! Uhuru wa kujieleza upo wapi? Au humu jf we dare to choose what to talk openly kwenye mambo yanayowafurahisha wachache kama ya chama na mambo ya kikubwa?
Mods nashindwa kuelewa sababu ni nini? Je sababu ni moja ya paragraph inayosema....
"Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) seemingly under the tutelage of Catholic Church out to oust a Muslim president, Mrisho Jakaya Kikwete, which broke the camel's back. The Catholic Church prior to election issued an Election Manifesto and a document of guidance on how Christians should vote. The presidential candidate for CHADEMA was a former Roman Catholic priest. That said it all."
Au
"Although there were four presidential aspirants nationwide the battle would have narrowed down to only the two of them, which are Prof. Malima and Benjamin Mkapa. Retired President Julius Nyerere had seen the danger of such a confrontation and asked Prof. Malima not to resign from CCM. Nyerere knew for Prof. Malima to resign on a Muslim agenda that would make him a hero to his people and Muslims would rally behind him. The country would be split and polarised."
Au
"In order to appreciate the impending danger we need to agree that Muslims are a majority[1] in Tanzania and in any civil upheaval large numbers carry psychological advantages. The government has over the years been making deliberate efforts to conceal this fact and to portray to the world that Muslim-Christian religious distribution is more or less the same and at times to give an impression that Tanzania is a Christian nation and Muslims are a minority
[1] As if sensing danger the Catholic Church has in place a committee responsible for armed forces. This was revealed in a report to the Pope when he visited Tanzania in 1990. Muslims have requested the government to make a statement on Catholic Church Committee on Armed Forces but so far the government has not responded."
Tukiacha hivi kila sehemu mkatuminya basi hali itakuwa tete nadhani ikija mada ijadiliwe wote mashahidi nimetumia jukwaa lile kuweka baadhi ya mambo sawa na kuelezea wapi tuanzie na sio kufanya fujo! Wengi wamenipongeza kwa kuiminya ile hoja wengi hawataona mchango wangu! ambao ni kuleta mshikamano kwenye jamii yetu.
Mods kuweni fair haiingii akilini mnayo yafanya ni ya bahati mbaya ila kuna agenda ndani yake.
Mohammed Shossi
mambo ya nchi hawa hayawahusu, kinachowahusu ni Mfumo Kristo, period, Mr. Mohamed Said and Mohamed Shossi, am I right?thread za udini zinachoshaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....
Kuna kiwanda cha wachina kwa miaka 5 wamekuwa wakiiba umeme wa tanesco, watumishi mishahara duni wanalipwa sh 5300 hamjadili kuja na solution aaaargh.......
Wewe mzee kwa nini unapenda sana udini na kupindisha mambo?Ahsante Sheikh Mohammed,
Ukweli katika madhila wanayofanyiwa Waislam unatisha sana.
Sioni mtu katika JF ambae anaweza kusimama kujibu hayo niloandika.
Benjamin Mkapa alitaka ushahidi wa dhulma kwa Waislam.
Prof. Njozi akaandika kitabu kizima "Mwembecha Killings..."
Serikali haikuweza kustahamili.
Ikakipiga marufuku kitabu.
Huu ndiyo mwendo wa mfumokristo.
Sasa wanatumia jeshi la polisi kupambana na Waislam.
Mimi naamini Insha Allah ipo siku watatuita katika meza ya mazungumzo.
Kaiangalie kule jukwaa la dini mkuu Mohammed Shossi. Na kukwambia hivyo siyo kuwa mimi nimeiona au nimekwenda ila ushauri tu go and try.
Wewe mzee kwa nini unapenda sana udini na kupindisha mambo?
Hii catalogue yake katika Library of Congress Washington DC ni Islam/Politics.
Hakuna catalogue "udini."
Post kama hiyo yako na mfano huo inashusha hadhi na heshima ya JF mahali ambapo zinakutana "great minds"
achilia mbali wewe mwenyewe.
Hapa ni mahali pana nafasi kubwa sana na nzuri ya mtu kuelimika.
Binafsi nimechuma elimu nyingi sana hapa ukumbini.
Hata post kama hiyo yako na nyingine za mfano ya yako kwangu
mimi ni darasa.
Na kama una uchungu sana nenda ukale maharage na ponda lumande
Mohamed Said ulikuwa na maana gani wakati sekion kitojo anakuhoji kupitia DW swahili uliposema kuwa makanisa hayakuchomwa na waislam ili hali wao ndio waliochoma na walianzia pale uwanja wa zakhem wakitokea kituo cha polisi.
Ukiianza mjadala kwa namna hiyo yako ya "We fulani..." tayari ushampoteza unaejadiliananae.
Kwa nini?
Umeanza na tusi.
Sasa ana khiyari yake kukupuuza au kukujibu.
Mimi nimeamua kukujibu huenda ukawaidhika na ukawa msomi wa maana.
Huu ni ukumbi tu wa majadiliano.
Hatutukanani hapa.
Ni hoja inashindanishwa na hoja nyingine.
Baada ya kitabu cha Mwembechai killings kupigwa marufuku na thread yako imepigwa marufuku hapa jf. I smell something fishy here hawaja jamaa zetu wanaitukana sanaaaaa Serikali na kuwasifiwa madoctor wa ukweli wakali sana wanasema Serikali inawadhulum "raia" etc etc lakini Waislam wa jf wakiinyooshea vidole Serikali na kuiamsha kuwa kuna "tatizo" wenzetu wajf including mods wanachukia! Wengine wanakuja na dhihaka za "mabikra" "kujitoa muhanga" ili kufanya mtu ujibu nje ya mada.Ahsante Sheikh Mohammed,
Ukweli katika madhila wanayofanyiwa Waislam unatisha sana.
Sioni mtu katika JF ambae anaweza kusimama kujibu hayo niloandika.
Benjamin Mkapa alitaka ushahidi wa dhulma kwa Waislam.
Prof. Njozi akaandika kitabu kizima "Mwembecha Killings..."
Serikali haikuweza kustahamili.
Ikakipiga marufuku kitabu.
Huu ndiyo mwendo wa mfumokristo.
Sasa wanatumia jeshi la polisi kupambana na Waislam.
Mimi naamini Insha Allah ipo siku watatuita katika meza ya mazungumzo.
Nileleza kuwa waliochoma makanisa ni wahalifu waliopata upenyo katika kadhia ile.
Ahsante Sheikh Mohammed,
Ukweli katika madhila wanayofanyiwa Waislam unatisha sana.
Sioni mtu katika JF ambae anaweza kusimama kujibu hayo niloandika.
Benjamin Mkapa alitaka ushahidi wa dhulma kwa Waislam.
Prof. Njozi akaandika kitabu kizima "Mwembecha Killings..."
Serikali haikuweza kustahamili.
Ikakipiga marufuku kitabu.
Huu ndiyo mwendo wa mfumokristo.
Sasa wanatumia jeshi la polisi kupambana na Waislam.
Mimi naamini Insha Allah ipo siku watatuita katika meza ya mazungumzo.