Jamani naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi ya mwisho.. katika facebook nimekutana na mwanamke wa kizungu yeye anafanya kuuza vifaa vya electronics, nataka kununua macbook pro kwa sh. USD 1300. amenitumia payment details na copy ya kitambulisho chake hapo chini. Je ununuzi kama huu ni sahihi na si utapeli?