PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,264
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nawe umekata tiketi ya motoni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo nawe umekata tiketi ya motoni?
Binadamu unapomwambia seem flani ni kubaya na atakiwi kufika au kuna mabaya yanafanyika ndo kwanza anastruggle kupajuanaomba usiende huko,maana huko utakutana na mshoga, sijui anaitwa baby R, utakutana na mawakala wa shetani, yaani kifupi huko hakuna anayeenda mbiguni,waliopo huko wamechagua moto, maana shetani huko anashika mafairi,na kupiga salute, huko kuna washenzi waliokata tiketi ya motoni, huko ukiingia hatua ya kwanza unakaguliwa na kiongozi wa shetani anaitwa ukwaju, pia pia wanavikao vyao vya kamati kuu, shetani hayupo kwa maana anacheo huko, ni msafisha vyoo tu huko.ukiitaji kuelekezwa namna ya kwenda karibu PM.lakini usiseme sikukwambia.
Nilishaga omba kitambo nadhani faili langu bado linafanyiwa kazijamanii naona watu wengi wanakuja PM kuomba njia ya kwenda motoni, ningeweza kueleza hapa namna ya kujiunga na hiko chama,tatizo uongozi was jf wenyewe hawataki kuweka wazi njia ya kwenda huko kwenye jukwaa LA wakubwa,. so nashauri huko msiende japo mim ni mwanachama huko, maana huko wamejaa wanawake wengi na mashoga kibao, ila kama mlokole pita mbali.maana kama ulikuwa unawaza kuwa shetani ndie kiongozi wa dhambi, hill futa kichwani kwa maana huko shetani anacheo anakaa siti za nyuma,hakai meza kuu,maana hana ubunifuuuu.huko ni balaaaaa. mwendo wa kuombana tu pachu pachu.hahahahha nimetoa siri ya kambi mda wowote naweza kutengwa na jukwaa LA wakubwaa. mod wekeni njia kila mtu afahamu ya kwenda huko.
ha ha ha haWala hujakosea...ndio hapa hapa
Tupia mabiriani na mapilau sasa!