Je hapa ndio jukwaa la wakubwa au?

Je hapa ndio jukwaa la wakubwa au?

Ma mbwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
1,387
Reaction score
3,453
Kama mada inavyojieleza mi ndo kwaaanza kinda hapa jf ila katika pita pita zangu nikaona watu wanasema kuna jukwaa la wakubwa jukwaa linalohusu yale mamb yetu ya niniliii n.k je ndo hapa hapa au sio.
 
Ndiyo hapa hapa Mkuu wakati mwingine tunaliita hili jukwaa MMU.😂😂😂😂

Kama mada inavyojieleza mi ndo kwaaanza kinda hapa jf ila katika pita pita zangu nikaona watu wanasema kuna jukwaa la wakubwa jukwaa linalohusu yale mamb yetu ya niniliii n.k je ndo hapa hapa au sio.
 
Kama mada inavyojieleza mi ndo kwaaanza kinda hapa jf ila katika pita pita zangu nikaona watu wanasema kuna jukwaa la wakubwa jukwaa linalohusu yale mamb yetu ya niniliii n.k je ndo hapa hapa au sio.
Tunangojea utupie madude.
 
sio hili, lipo lenyewe lakini utalipata kwa kibali maalumu, na mpaka member akushike mkono kukutambulisha kwenye mamlaka, huko yaani ni ushenzi tu, shetani anashangaa kama amewatuma yeye. huko kama usalama was taifa unaingia kwa shikwa mkono.
 
Back
Top Bottom