Je,haiwezekani tumechalala?

Je,haiwezekani tumechalala?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,159
Reaction score
162,578
Hivi ukitaka kujua mtu fulani amechalala,biashara zake zimeyumba au kipato chake kimeshuka, ni mpaka akwambie sina hela?Ni mpaka ujue kwa sasa account yake/zake zina fedha kiasi gani tofauti na siku za nyuma?

Kwa mfano, ukiona mtu au jirani yako watoto wake wamefukuzwa shule bado utakuwa huelewi?Ukiona magari yamepaki tu nyumbani kwake na anatembea kwa mguu bado utakuwa huelewi?Ukiona mahudhurio yake Bar yamepungua na ameacha kutumia vinywaji vya gharama bado tu utakuwa huelewi?

Ni wakati wa kila mtu kujiongeza na hili haliitaji hata shahada ya chuo kikuu kulijua.
 
Soma hiyo ndio utajua tumefulia
 

Attachments

  • 1474229128869.jpg
    1474229128869.jpg
    32.2 KB · Views: 62
tumeipenda wenyewe

chaguo letu milele

achawaisome namba eeeh!
 
nchi kama itaendeshwa bila kufuata sheria hii haya ndio yanakuwa madhara yake, wawekezaji wameacha kuingiza fedha katika uchumi kwa kuwa hawajui kesho ataamua nini bila kufuata sheria hivyo viwanda atakavyo anzisha sijui vitapata wapi wanunuzi vifungwa tu kama hotel na maduka na hapo ni anguko kubwa la uchumi kaulize Venezuela kwa chavez mambo yameharibika pamoja na kuzalisha mafuta kwa wingi.
fuata sheria na kanuni acha biashara ndogo za nje kuwa rahisi lakini sasa kupeleka nyanya kenya zinakuozea wakati unatafuta kibali hivi ndivyo vitasisimua uchumi la hakuna mwekezaji atakuja mwingine kuwekeza ikiwa hakuna soko la kudumu tuache uchumi usiongozwe na siasa ukweli usemwe kila kiongozi wa serikali anatetea kuwa mambo yako sawa wako sio kweli hongera mbunge wa igunga kwa kuwa muwazi
 
Nimkusoma mkuu, ukiona mtu unamwomba msaada anakwambia fanya kaz jua hana hela
 
Back
Top Bottom