Sikumbuki,nilikuwa siko katika sehenu ya tukio,..Yesu alikufa na kufufuka. Huyo issa alifufuka?
Uislam Ni taasisi iliyoanzishwa na Roman Empire ambao ndo ukatoliki wa sasa. Hoja zenu Ni nyepesi Sana, Mara ulikuwepo tangu Adam, Musa na Ibrahim wote ni waislam... Wakati uislam ni wa miaka ya 620 AD, na muna miaka yenu ya kiislam.Sikumbuki,nilikuwa siko katika sehenu ya tukio,..
Katika Biblia Isa aka Yesu aliomba Sana wakati anapekwa kusulubiwa..
Waislam wanaamini Yesu hakufa siku Ile Mungu alimnusuru,Dini ya PAULO wanaamini alikufa ,akazikwa ,akafufuka..
Amini unavyoamini,Ni haki yako
Inawezekana kuwa kweli kuwa Uislam imeanzishwa na Roman Catholic,je Roman Catholic na wao wameanzishwa na nani?Uislam Ni taasisi iliyoanzishwa na Roman Empire ambao ndo ukatoliki wa sasa. Hoja zenu Ni nyepesi Sana, Mara ulikuwepo tangu Adam, Musa na Ibrahim wote ni waislam... Wakati uislam ni wa miaka ya 620 AD, na muna miaka yenu ya kiislam.
Nyumba ya tofali za kuchoma hujengwa kwa materials yanayofanana, ndiyo maana manabii wote wametengeneza Biblia agano la kale na jipya. Muhammad yeye hana uhusiano na wengine, nyumba yake Ni ya miti, ameleta material ya peke yake katengeneza nyumba yake. Hafanani kabisa na manabii wa Mungu walioijenga Biblia.
Sikumbuki,nilikuwa siko katika sehenu ya tukio,..
Katika Biblia Isa aka Yesu aliomba Sana wakati anapekwa kusulubiwa..
Waislam wanaamini Yesu hakufa siku Ile Mungu alimnusuru,Dini ya PAULO wanaamini alikufa ,akazikwa ,akafufuka..
Amini unavyoamini,Ni haki yako
Hujamwelewa. Huyu George Floyd aambae mnamwita mtume alikua ni ncheza filamu za ngono mahiri huko USA. Mnamwitaje mfiraji mtume?Yesu hakuwahi kuowa, kafa ana umri wa miaka 30 bila yakuowa, Je na yeye alikuwa ...?
Acha kumkashifu Mtume, una uhakika wowote wa uliloandika
Kwani kucheza filamu za Ngono kuna shida gani?mbona sisi Watanzania kuna makabila yanacheza Unyago?Hujamwelewa. Huyu George Floyd aambae mnamwita mtume alikua ni ncheza filamu za ngono mahiri huko USA. Mnamwitaje mfiraji mtume?
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mia khalifa kaleta mabadiliko gani katika jamii yake? Sio kila mtu anaweza kuwa Mtume,lazima vigezo vizingatiwe..Kama moja ya sifa ya kuwa mtume ni kuwa Pornstar basi hata Mia Khalifa nae ni mtume!
Sawa, ila George Floyd ni nabii kutoka Xvideos.Mia khalifa kaleta mabadiliko gani katika jamii yake? Sio kila mtu anaweza kuwa Mtume,lazima vigezo vizingatiwe..
George Flyod analeta mabadiliko sio kwa jamii iliyomzunguka tu bali Dunia nzima..
Umemsikia Waziri wa Ulinzi Marekani amepingana na Gemedari mkuu,na Raisi wa Marekani Donald Trump
Hii hali haijawahi kutokea..
All Blessings to Saint George Floyd