Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,762
- 4,978
Kila Mtu ana udhaifu wake,hayupo mkamilifu hata mmoja yeye anaweza kuwa alicheza movie za porns na wewe ukaangalia, hapo "wote manganyaga".Uyo mtume wa xvideos.com,pornhub na wapuuz wengine
KVitu vingine bwana watu sijui mkoje,unauliza na umesha jijibu humo humo,kweni kuandamana ndo kigezo cha mtu awe mtume? hizo ni ghadhabu tu za watu juu ya uonevu na ni hali ya kawaida na isiyo mpa mtu utume wowote.yani sijui hata nikuelezeje by the way unaelewa ila tu na wewe umeamua kutafuta michango ya watu kwa mada ndogo
Watume wote walikuwa from no where,Yesu baba ake alikuwa saramala,Muhamad alikuwa fukara bila baba Wala mamaKwa sasa dini imekaa ipasavyo mioyoni mwa wanadamu, kutokea mtu from no where na gafla umuite mtume ni kugombana na hao ambao dini imekaa mioyoni.
Wanasahau misaafu ni historia.
Difficult nowdays.
Sijakataaa kuwepo na maandamano ya kupinga racism hasa Us na some europeans countriesmkuu ninachopinga kumfananisha mtu na mtume je enzi za mitume wakweli watu walikuwa wakiandamana kwa kuchoma moto mali za wengine au kuibia watu though maandamano muhimu kudai haki kwa watu wote yeye ni mtu wa porn na mm nimetazama na wewe pia i guess im log out.Kila Mtu ana udhaifu wake,hayupo mkamilifu hata mmoja yeye anaweza kuwa alicheza movie za porns na wewe ukaangalia, hapo "wote manganyaga".
Unaweza ukaona dhambi za mwenzako ila haimaanishi wewe ni malaika au msafi sa a kuliko yeye "no one who has immune to mistake".
Back to focus ...tunachokipinga hapa ni ubaguzi na siyo madhaifu ya marehemu aliyelala mahali tulivu.Jaribu kujenga hoja kwa kutumia uelewa mpana wa mambo ulio nao badala ya hisia.
Yesu hakuwahi kuowa, kafa ana umri wa miaka 30 bila yakuowa, Je na yeye alikuwa ...?Naskia marehemu alikua mfiraji mzuri tu katika zile picha za wakubwa.
so kama umeona ni mtume basi atakua ni mtume mfiraji
CNN walikuwa wanasema kwamba polisi wa Minneapolis wa mafunzo ya kumbana mtu na goti shingoni bila kudhuru mfumo wa upumuaji, inasemekana hata baada ya kumbana hivo polisi walimpima mapigo ya moyo kwa mkono kila kitu ilikuwa poa ila ripoti ya hospital inasema jamaa ana mfumo mbovu wa upumuaji au mgonjwa. Inawezekana pia jamaa kaja kumfia polisi, ndio maana sometimes heri usipigane na mtu atakufia bure upate kesimi najiuliza kuna je askari mweusi angemuua nigga mwenzie kungekuwa na strike ya aina yoyote??!!
Mada inauliza kama ni mtume, na wewe ukitetea hili kua aonekane ni mtume utakua ni punguani mkubwaKila Mtu ana udhaifu wake,hayupo mkamilifu hata mmoja yeye anaweza kuwa alicheza movie za porns na wewe ukaangalia, hapo "wote manganyaga".
Unaweza ukaona dhambi za mwenzako ila haimaanishi wewe ni malaika au msafi sa a kuliko yeye "no one who has immune to mistake".
Back to focus ...tunachokipinga hapa ni ubaguzi na siyo madhaifu ya marehemu aliyelala mahali tulivu.Jaribu kujenga hoja kwa kutumia uelewa mpana wa mambo ulio nao badala ya hisia.
Hapa Tanzania Kuna Mitume kibao, wanawatapeli Watanzania mbona hushangai MkuuSijakataaa kuwepo na maandamano ya kupinga racism hasa Us na some europeans countriesmkuu ninachopinga kumfananisha mtu na mtume je enzi za mitume wakweli watu walikuwa wakiandamana kwa kuchoma moto mali za wengine au kuibia watu though maandamano muhimu kudai haki kwa watu wote yeye ni mtu wa porn na mm nimetazama na wewe pia i guess im log out.
Mkuu nimeuliza suali, Je George Flyod Mtume asiejulikana? Jibu swaliVitu vingine bwana watu sijui mkoje,unauliza na umesha jijibu humo humo,kweni kuandamana ndo kigezo cha mtu awe mtume? hizo ni ghadhabu tu za watu juu ya uonevu na ni hali ya kawaida na isiyo mpa mtu utume wowote.yani sijui hata nikuelezeje by the way unaelewa ila tu na wewe umeamua kutafuta michango ya watu kwa mada ndogo
Hao mitume ni kwa wapuuzi wasiojitambua na kwa kweli nimewazarau hao mitume na wafuasi wao mpaka wanakanyagana kwa ajili ya damn it oil.Hapa Tanzania Kuna Mitume kibao,wanawatapeli Watanzania mbona hushangai,Mkuu
HahaSijakataaa kuwepo na maandamano ya kupinga racism hasa Us na some europeans countriesmkuu ninachopinga kumfananisha mtu na mtume je enzi za mitume wakweli watu walikuwa wakiandamana kwa kuchoma moto mali za wengine au kuibia watu though maandamano muhimu kudai haki kwa watu wote yeye ni mtu wa porn na mm nimetazama na wewe pia i guess im log out.
Mfumo huo alitakiwa ambane na ugoko na sio goti.CNN walikuwa wanasema kwamba polisi wa Minneapolis wa mafunzo ya kumbana mtu na goti shingoni bila kudhuru mfumo wa upumuaji,inasemekana hata baada ya kumbana hivo polisi walimpima mapigo ya moyo kwa mkono kila kitu ilikuwa poa ila ripoti ya hospital inasema jamaa ana mfumo mbovu wa upumuaji au mgonjwa .Inawezekana pia jamaa kaja kumfia polisi,ndo maana sometimes heri usipigane na mtu atakufia bure upate kesi
Rodney King hakuleta mpasuka Kama wa George, George kawafanya Polisi wapige magoti,
National gurd wamepelekwa mitaani sio Jimbo moja
Watu weusi wameshirikiana na weupe,vurugu za Rodeny king, weupe walipigana na weusi Sasa hivi ni tafauti
Kikubwa zaidi Raisi wa Taifa kubwa kaingia handakini kwa kuogopa raia wake
Awamu hii wanakazaNi vurugu kubwa hii ambalo wanaoumia ni wao kwa kuvamia mali na kuchoma kila mahali
Maandamano ya amani yamekuwa Fujo na weusi wamechoka uonezi wa kila wakati
Weupe hawana jinsi bali kukubali ukweli na sio wote ni wabaguzi
Police brutality inajirudia kila wakati
Usiishi kwa maneno ya kusikiaNaskia marehemu alikua mfiraji mzuri tu katika zile picha za wakubwa.
so kama umeona ni mtume basi atakua ni mtume mfiraji
Akwilina vipi ?Haya mambo yanashangaza sana basi na Tundulissu nimtume anayeishi kwa kupigwa 38 bullets na ccm hila bado yuko hai.
Mwaka jana black walimuua black mwenzao Nipsey Husle lakini mablack wakala ganzi kama hawajui kilichotokeami najiuliza kuna je askari mweusi angemuua nigga mwenzie kungekuwa na strike ya aina yoyote??!!
Unaweza kututhibitishia hili ?kuna