Je gazeti la "ThisDay" halishikiki?

Semilong

JF-Expert Member
Mar 5, 2009
1,712
219
This day limekua likandika habari za ufisadi kwa nguvu sana na ukizingatia hili ni gazeti la kiingereza na linasomwa na mabalozi wengi hususan balozi wa UK.

Limekua likichambua kwa kina rada na dr rashid...
na ukiangalia kicha cha habari kwenye internet unaona linampamba mwakyembe

Je wana mtandao wamelishidwa hili gazeti?

Hatima yake nini?

Au wanamuogopa mmiliki wake?

Au mmiliki wake ana nguvu sana hata ndani ya chama chao ana watu wake?

Au kwa ajili mabalozi wote wa nchi kubwa ni maswaiba wake? ie US, UK JAPAN n more?

Siri ni nini?
 
Thisday is here to Stay! Haliendi kokote ngo.Reason being hawaandiki habari za "Udaku" and also reason being its a Pet project ya The US Millenium Challenge Coporation.Thisday does what most Tanzanian Journalists dont.They do investigative journalisim. Hawakurupuki.They are thorough!

Infact, Thisday lilianzishwa with one mission in mind "Expose Corruption" in Tanzania.Over the years they have recieved a lot of support (technical & financial)from the Millenium Challenge Coporation through Pact Tanzania (http://www.pacttz.org/gov_mediastrength.html) MCC is watching thisday very closely and if the government of Tanzania dares to touch Thisday, Tanzania can kiss good bye the US$698 Million that Bush promissed us Via MCC/MCA when he visted Tanzania in 2008.

One of the key indicators for qualifying for Millenium Challenge Account (MCA) money and "staying" eligible for MCA Money is "Freedom of The Press" http://www.mcc.gov/selection/index.php No freedom of the press, No Millenium Challenge Money, its that simple!
 
Last edited:
Thisday is here to Stay! Haliendi kokote ngo.Reason being hawaandiki habari za "Udaku" and also reason being its a Pet project ya The US Millenium Challenge Coporation.Thisday does what most Tanzanian Journalists dont.They do investigative journalisim. Hawakurupuki.They are thorough!

Infact, Thisday lilianzishwa with one mission in mind "Expose Corruption" in Tanzania.Over the years they have recieved a lot of support (technical & financial)from the Millenium Challenge Coporation through Pact Tanzania (Media Strengthening - PACT Tanzania) MCC is watching thisday very closely and if the government of Tanzania dares to touch Thisday, Tanzania can kiss good bye the US$698 Million that Bush promissed us Via MCC/MCA when he visted Tanzania in 2008.

One of the key indicators for qualifying for Millenium Challenge Account (MCA) money and "staying" eligible for MCA Money is "Freedom of The Press" http://www.mcc.gov/selection/index.php No freedom of the press, No Millenium Challenge Money, its that simple!

Does the above mean JF qualifies for MCC support?
Can we construct something and submit to MCC to reduce the continuous burden incurred by Invisible and few in this forum?

Give me some details please!
 
Does the above mean JF qualifies for MCC support?
Can we construct something and submit to MCC to reduce the continuous burden incurred by Invisible and few in this forum?

Give me some details please!

jf doesnt qualify sadly..when u have people talking abt conflict of interest when they just had to google the term..when u have threads full of udini and ukabila..i can go on for ages...JF should remain chumba cha maoni..this day...hard facts!!
 
Kwanini Watanzania hatuna hulka ya kupenda wenzetu wa ngozi nyeusi. Tumuogope MUNGU kwanza halafu jiulize maelfu ya watu ambao hawapati huduma bora za afya, elimu duni , barabara zinazoshindwa kupitika kwa kusafirisha bidhaa zisizokuwa na soko, maji yasiyo safi wala salama halafu wewe muhimili wa nne wa nchi unakuwa kibaraka wa R.A kwenye New Habari Corporation? Utajibu nn kwa MUUMBA siku ya mwisho.
 
halafu wewe muhimili wa nne wa nchi unakuwa kibaraka wa R.A kwenye New Habari Corporation? Utajibu nn kwa MUUMBA siku ya mwisho.

Je ili swali unamuuliza JK? inaonekana asomi JF angeona zile comment za mkutano uliofanyika BOTangepata wazimu?
 
Kwa mimi Thisday ndio gazeti namba moja kwa Tanzania. Napenda uchambuzi wao na naombea waendelee na mafanikio hayo.

Who cares kama Waingereza au watu wa nje wanasoma? Tena si ajabu hata hao hao wanapenyeza na vipesa ili Thisday liendelee zaidi na zaidi.

Free press ni muhimu mno kwenye maendeleo ya nchi. Mimi msimamo wangu ni ule ule, sitajali motive ya mtu, kama alichoandika ni facts, hiyo inafaa kabisa.
 
kwani unaona hatari mafisadi kuchambuliwa? sioni sababu ya ww kuhofia hilo, labda kama kuna maslahi binafsi
 
Back
Top Bottom