GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,697
- 109,125
Mkuu Mbona unamsimanga Babu Ntibazonkiza bila kujua? Akiisoma hii post yako anaweza kukurushia matusi ambayo hujawahi kuyasikia.Wacha awakerw maana hamna Timu mwaka huu mmejaza Wazee tu
Khaaa we Acha Ukolo kabisa, hv Saido utamfananisha na Wazee wa pale Simba akina unyango.. Yule ni pure kijana ndo maana now Yuko On fire anawapelekea moto. Ety Saido awe baby Sasa Kikosi Cha Mikia chote c kitakuwa Cha vikongwe😁Mkuu Mbona unamsimanga Babu Ntibazonkiza bila kujua? Akiisoma hii poyako anaweza kukurushia matusi ambayo hujawahi kuyasikia.
Kukereka Kimoyomoyo Ndio Mbaya Zaidi Nakupa Tahadhari Mapema.Kwanza ana mkera nani?
Hawa mabeki wanaokiri wenyewe Mayele ameshindikana?1. Rostar Ndunguru
2. Frank Kasanga Bwalya
3. Salum Kabunda Ninja
4. Idi Seleman Kibode Nyigu
5. Kenneth Mkapa
6. Said Mwamba Kizota
7. Fikiri Magoso
8. Willy Martin Scania
9. Bakari Malima Jembe Ulaya
10. Rajab Msoma
11. Twaha Hamidu Noriega
Mabeki / Wachezaji wa leo laini sana.
Ile siku Onyango ndie alipaswa kupewa credit kwa kudili na Mayele, nilishangaa Inonga alipotokea kumsindikiza atoke uwanjani.Mkuu , Mayele huyu aliyedhibitiwa na lnonga mechi iliyopita au kuna mayele mwingine?
Kwa akili za kisukule unaweza kufikiri kwamba Ntibazonkiza ni kijana . Lakini ukweli ni kwamba yule ni kibabu. Lile jangwa lake la utosini linatosha kukuthibitishia Kabla ya kuambiwa umri wake wa miaka 37Khaaa we Acha Ukolo kabisa, hv Saido utamfananisha na Wazee wa pale Simba akina unyango.. Yule ni pure kijana ndo maana now Yuko On fire anawapelekea moto. Ety Saido awe baby Sasa Kikosi Cha Mikia chote c kitakuwa Cha vikongwe
MakoloKwanza ana mkera nani?
Hata angekuwa na miaka mia.. Sisi tunachotaka acheze Mpira na afunge mambo ya umri hayamake sense kwetu mamaake anajua au we ndo umemzaa..?Kwa akili za kisukule unaweza kufikiri kwamba Ntibazonkiza ni kijana . Lakini ukweli ni kwamba yule ni kibabu. Lile jangwa lake la utosini linatosha kukuthibitishia Kabla ya kuambiwa umri wake wa miaka 37
Ndio nani?Makolo
Shabiki yeyote anaeshabikia Simba aka Mbumbumbu fcNdio nani?
Ukweli Siku zote huwa ni mchunguNilikua napenda kusoma comments na nyuzi zako ila dah Mimi ni simba damu,unazingua .niliacha
Sasa shabiki gani wa simba anayekereka na mayele?Shabiki yeyote anaeshabikia Simba aka Mbumbumbu fc