Je, familia ya Yusuph Makamba wote ni Masupa Star?

yupo National Institute of Medical Research kama Research Scientist, ni kweli huyu jamaa alikua anaibia au skendo tu? manake Tulane hua hawapokei vilaza na asingeweza ku-graduate

Kuiba mitihani sio kwamba huna akili ila ni kutojiamini pia kwa level ya O level ni ya chini sana mtu ana uwezo wa kubadilika time yoyote…kwani hata yule kipanga wa class akisikia kuna peper ya kusolve lazima adeal nayo hawezi kuignore!!ila dogo aliipata peper O level!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom