Je ,dw wachochezii ?

Je ,dw wachochezii ?

livafan

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2016
Posts
2,973
Reaction score
5,629
Nafanya kautafti ,nahitaji maoni yenu wana jamii wenye maono ya mbali.

Je hii media ni wachochezi au hapana?
Jibu ndio au hapana ?
bd7ae53c0204cf70bf207d2daecbebdd.jpg
 
Magu ni dikteta la hatari linafiki lakufa Mtu lioga lakutupwa ndiyo maana nadhibiti yeyote anaeonekana kufungua watz akili nalichukua kuliko chochote hapa duniani
 
wewe ndio mchochezi,hiyo katuni ni ya muda mrefu leo hii umeiweka ili iweje na swali lako hilo?
 
Baba wa Taifa anakereka sana. Anatamani kushuka. Yule jamaa wa "malofa na wapumbavu" yupo burudaaaniii.
 
Back
Top Bottom