Je, Dunia ipo chini ya maji??

Sayansi inasema Sayari zipo nyingi na Dunia siyo center of the Universe....kwahiyo ulichokielezea hapo hakina ukweli wowote according to science.
 
"Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters.


Kabla ya yote kwanza utuambie huyo aliyemnukuu/aliyemsikia Mungu akisema hayo maneno; " let there be a firmament in the midst of waters ----", ni nani??.

Tunataka tuthibitishe "authenticity" ya hayo maneno kwanza kabla hatujaenda mbele.
 
Sayansi inakubaliana na hili, kwamba kuna maji katika uso wa dunia na katika anga. Maji katika uso wa dunia tunayapata baharini, maziwa, mabwawa, mito, nk. Na maji ya angani yako katika hali ya mvuke, ambao baadaye hugeuka na kuwa maji, na ndipo mvua hunyesha. Kwa hiyo ni sahihi kabisa kuwa Mungu alitenga maji katika makundi hayo mawili; yaani maji ya ardhini (katika uso wa dunia) na yale ya angani (mbingu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…