Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Matapeli ni watu wenye akili mno kuliko ambavyo twaweza kufikiri.Tapeli akitaka kuiba anatumia akili ya juu sana , nae ana IQ kubwa ?
Matapeli ni watu wenye akili mno kuliko ambavyo twaweza kufikiri.Tapeli akitaka kuiba anatumia akili ya juu sana , nae ana IQ kubwa ?
Ndio utapeli lazima uwe smart kichwan ad unatapeliwa inamaanisha umepitwa IQ na tapeli ndio maana unajaa kingTapeli akitaka kuiba anatumia akili ya juu sana , nae ana IQ kubwa ?
Kuna watu wakiwa wanacheza draft wanasukuma kete kiboya zinaliwa sasa hao watakuwaje na IQ kubwa, yaani wanategwa mitego ya wazi bila hata kufunika na majani isionekane.Kweli kabisaa...! Hakuna uhusiano wa kujua draft na kuwa na akilii....
Kabisaa...Sema me ndo nilishindwa kabisaa kujua next move za kucheza draft palee ilaa kuna watu wanapiga hesabu wanajua hili limeishaaKuna watu wakiwa wanacheza draft wanasukuma kete kiboya zinaliwa sasa hao watakuwaje na IQ kubwa, yaani wanategwa mitego ya wazi bila hata kufunika na majani isionekane.
Mi naanini ivi..
"Mtu mwenye IQ kubwa anaweza kuwa fundi kwenye draft lakini kinyume chake sio sahihi"
sorry naomba nijue kwani kuwa qenious ni lazima uwe vizuri darasani,hao wakina newton walisoma shule kweli?
Kujua limeisha iyo siyo akili, huko ni kukalili michezo, sasa kama unapita mulemule lazima unyonyolewe.Kabisaa...Sema me ndo nilishindwa kabisaa kujua next move za kucheza draft palee ilaa kuna watu wanapiga hesabu wanajua hili limeishaa
aliishia level ipi?Newton kasoma shule pia
kibongobongo mwenye akili ni yule awezaye kukalili rejea masuala ya shule hasa ukiwa form one watu wanavyokalili concept mbalimbali tena bila kuzielewaKujua limeisha iyo siyo akili, huko ni kukalili michezo, sasa kama unapita mulemule lazima unyonyolewe.
Dih! AC za bungenihuwezi kupima IQ ya mtu kupitia checkers kuna watu ni mabashite ila kwenye huo mchezo ni ma experts,
isaac newton ni mmoja wa magenious wakali kuwahi kutokea duniani walimpa ubunge kwa sababu ya kazi zake wakitegemea atatumia kipaji chake vizuri bungeni, lakini ilikua ni vice versa alikua hana tofauti na ac za bungeni



"The whole of cognitive or intellectual abilities required to obtain knowledge, and to use that knowledge in a good way to solve problems that have a well described goal and structure."Kwako Iq ni nini?