Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

Je drafti ni kipimo sahihi cha IQ?

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,462
Hey guys is it true that the draught is the best criteria for measuring the intellectual quotient of a person?

And if that is the case ,then why most of the experts of draught are old people and we all know that old people have low thinking capacity due to age factor?
 
draught or checkers? guess you mean checkers.
Drafti sio kipimo sahihi cha IQ. Draft ni mchezo wa trick na kufikiria. mtu anaweza kushinda draft sababu tu opponent wake kashindwa kufikiria au kafanya mistake. mtu anaweza kuwa na IQ kubwa lakini asiweze kutamba kwenye draft. hata hivyo ogopa sana mtu anaecheza draft kwa harakaharaka (pasi kupoteza mda akifikiria). hawa jamaa wana akili sana na pengine IQ zao ni kubwa, japo kwa hawa jamaa ushindi sio lazima.
 
huwezi kupima IQ ya mtu kupitia checkers kuna watu ni mabashite ila kwenye huo mchezo ni ma experts,

isaac newton ni mmoja wa magenious wakali kuwahi kutokea duniani walimpa ubunge kwa sababu ya kazi zake wakitegemea atatumia kipaji chake vizuri bungeni, lakini ilikua ni vice versa alikua hana tofauti na ac za bungeni
 
Daah draft nishawahi kushinda game moja ya fainali na nikazawadiwa jogoo...kitamboo, ukicheza michezo miwili...nishajua wapi nikutege.
 
Sio sahihi kuna watu ni wamahiri wakucheza draft lakini inapo kuja kwenye suala linalo hitaji kufikiria mambo mengine uwezo wao ni mfinyu mno. Mathalani kama huyu mahiri wa draft ni mwanafunzi utakuta uwezo wake kitaaluma ni mdogo mno.So draft sio kipimo cha kuwa na IQ kubwa.

mafisadi hayana chama
 
Hey guys is it true that the draught is the best criteria for measuring the intellectual quotient of a person?

And if that is the case ,then why most of the experts of draught are old people and we all know that old people have low thinking capacity due to age factor?
it'not true,
draught is not a criterion for measuring intelligence quotient ili ucheze drafti vema unahitaji umakini tu (focus) ukiweza ku-focus vizuri utaweza ku-control game sababu utaweza ona vizuri fursa ya ushindi na kujua kete ipi uiweke wapi.
 
Ni mchezo wa kufikirisha tu akili na kumdhibiti mpinzani wako tu sidhani kama una uhusiano na IQ ya mtu
 
Nini maana ya intelligent person?

Na hupimwa kwa kigezo kipi?
 
Ni mchezo wa kufikirisha tu akili na kumdhibiti mpinzani wako tu sidhani kama una uhusiano na IQ ya mtu
Nini maana ya IQ?

Na kama umekataa then thibitisha IQ ya mtu utaitambuaje?
 
Sidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty

Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
 
Kweli kabisaa...! Hakuna uhusiano wa kujua draft na kuwa na akilii....
 
Unapozungumzia IQ n uwezo wa kufikiria na draft pia linaitaj kufikiria maana unaweza pigwa force ad usiamin

Ukirud nyuma draft n new vision ya chess, n mchezo uliokua unatumiwa sana katka mbinu za kijeshi kipnd cha vita apa namaanisha combat formation, na apo ndio unakuta jemedary na mshauli wake wanacheza draft uku wakibadilishana mawazo

Msichanganye akil za kukalil darasan na uwezo wa kufikiri, draft bila kuwa smart upstairs utatukanwa sana
 
Sidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty

Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
Sidhani ,maana kuna MTU namjua drafti ukigusa kete ya kwanza tu ,anakuambia rudia nitakufunga,na anakuonesha hadi kete yako ya NNE ya mchezo lkn ,darasani empty

Huyo jamaa,wanamjua ,msasani,kawe,mikocheni, kariakoo ,fundi kweli kweli wa draft
sorry naomba nijue kwani kuwa qenious ni lazima uwe vizuri darasani,hao wakina newton walisoma shule kweli?
 
Back
Top Bottom