Je Dr. Salim Hamed Salim ana mafanikio yoyote kwa Tanzania? Nauliza hivyo kwa kuwa sina uhakika wa mafanikio aliyoiletea Tanzania enzi zake na kwa sasa katika sehemu anazoziongoza. Mwenye ushahidi wa mafanikio katika sehemu anazoziongoza sasa atueleze nkwani sina uhakika na wala siamini kama anaweza kuiletea Tanzania mafanio katika ngazi ya Rais. Naleta kwenu tuijadili mada hii.