Sababu zitakazofanya Batilda apewe nafasi ya URC Dar ni kwamba Mwana mama huyu yupo katika hali mbaya kifedha kutokana na mchakato wa kura za jimbo la Arusha. Madeni aliyonayo hayalipiki mwanangu. Si Masha, Diallo, Shamsa, Msola, Kimiti, Mzindakaya, Chiligati, wala Khatibu walio na shida aliyonayo Batilda. vilevile nafasi aliyokuwa nayo awali haikuwa na ulaji wa kutosha. Huwezi kumlinganisha na Shamsa ambale alikuwa Wizara ya utalii na maliasili- Kumbuka kwa Shamsa Makusanyo ya siku moja tu ya watalii wanaopita Gate la Ngorongoro Conservation Area yanamtosha kuishi yeye na uko wake miaka ishirini bila kufanya kazi, hivyo kwa kuwa ni mwanachama wa genge la walanchi lakini hana tatizo alilonalo Batilda na ndio maana msaada unahitajika kununusu maisha yake kwa kupewa nafasi nyeti ya URC Dar.
mmmh hapo atachemsha saaaana tu labda wampe huko mkoani
Wakuu nimeisikia hii nyeti kwa mtu wa "geti jeusi"...
Habari ilivyo ni kwamba JK anataka kumleta swahiba wake kushika jiji. Aleye karibu naye sana ni Said Kalembo (RC Tanga). Pamoja na uswahiba wake pia jamaa ni mchapakazi na amefanya kazi nzuri sana Tanga na alipokuwa Morogoro. Kikwazo inasemekana watu wa Tanga miaka yote ni wavivu na hawaambiliki, huyu amewaweza, sasa viongozi wengi wanaotoka mkoa ule, akiwemo Makamba wanataka Kalembo aachwe aendelee kuinyoosha Tanga..!!
Mwingine aliyetajwa ni Abdulazizi, aliyekuwa Tanga (sasa nadhani yupo Lindi), lakini huyu anasemekana ana masihara kidogo na ni mswahii zaidi ya utendaji....nasikia kuna mapendekezo kwamba huyu apelekwe Mwanza, Kandoro arejeshwe Dar na Tibaigana anateuliwa kuwa RC anakwenda Lindi....!! Endapo Kalembo atakuja Dar, basi Tibaigana anateuliwa kuwa RC wa Tanga na wengine wanabaki kama walivyo (Tibaigana alikuwa RPC Tanga miaka ya 90 na anasifika kwa jinsi alivyokomesha uhalifu, ukiwepo ujambazi wa kuteka mabasi ya abiria na magari ya mizigo....)
Basi tusubiri tuone

Wadau, kuna tetesi kuwa Batilda Buriani anaweza kupewa U-RC Dar, je atauweza?
Sababu zitakazofanya Batilda apewe nafasi ya URC Dar ni kwamba Mwana mama huyu yupo katika hali mbaya kifedha kutokana na mchakato wa kura za jimbo la Arusha. Madeni aliyonayo hayalipiki mwanangu. Si Masha, Diallo, Shamsa, Msola, Kimiti, Mzindakaya, Chiligati, wala Khatibu walio na shida aliyonayo Batilda. vilevile nafasi aliyokuwa nayo awali haikuwa na ulaji wa kutosha. Huwezi kumlinganisha na Shamsa ambale alikuwa Wizara ya utalii na maliasili- Kumbuka kwa Shamsa Makusanyo ya siku moja tu ya watalii wanaopita Gate la Ngorongoro Conservation Area yanamtosha kuishi yeye na uko wake miaka ishirini bila kufanya kazi, hivyo kwa kuwa ni mwanachama wa genge la walanchi lakini hana tatizo alilonalo Batilda na ndio maana msaada unahitajika kununusu maisha yake kwa kupewa nafasi nyeti ya URC Dar.
Wadau, kuna tetesi kuwa Batilda Buriani anaweza kupewa U-RC Dar, je atauweza?
Kwani wale waliopewa ubunge viti maalum kule kwenye chama chetu wanauweza? mwacheni na yeye apewe kama sisi tulivyowapa kina Naomi Kaihula n a Rose Kamili hii africa bwana kujuana kwanza nchi baadaeWadau, kuna tetesi kuwa Batilda Buriani anaweza kupewa U-RC Dar, je atauweza?