Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Shukrani ya nini wakati unatimiza wajibu wako kwa cheo ulichopewa🚶🚶🚶View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Hapana ingekuwa yataka moyo hao wote wangekuwa washajiuzulu siku nyingi,,, Sema viongozi wetu wengi hawana uwezo wa kuongozaHahahaaaaa....... Uongozi ni jalala bwashee.
Ukiona kiongozi anatamka neno " Nimechoka" ujue hapo hamna kiongozi tena!
Muislam wa wapi?Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Naona Una mawazo ya kibiblia maana kwa mujibu wa Biblia shetani kilimkumba hata "Mungu" Yesu Kwa siku 40! Jinsi mnavyomuheshimu sikushangai maana ni biblia inasema, soma..Mteuzi nan?hebu futa kauli yako na punguza mahaba hata shetan pia huteua watu wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Takhbiiiiiirrrr !!!!Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Aliyeshiba mali za ummaNj kauli za mtu aliyeshiba
Aliyeshiba mali za umma
kabisa mkuu, tena hapo ushukuru siku hiyo wasiwe wameongeza na uchungu wa maisha, watakusema sana mpaka ukonde ndo mana unaona yule gavana anaongezeka matako maana anasemwa kila muda anatupiwa laanaUnamaanisha wakimaliza kuangalia picha za pilau na akili zao zinapinduka hivyo hivyo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa kwani Allah hataki utawala bora, usimamizi na matumizi bora ya fedha za umma na kodi za waislamu na wasio waislamu?Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Kumbuka Kigwangwala ni Muislam, mteuzi ni Allah pekee siyo binadam mwenzake.
Besides, Kigwangwala ana profession yake, sijui wewe?
Fikra zako kwenye ulaji Tu.Hiyo profession yake haiwezi kufikia hadhi ya uwaziri!
Hata aitumikie vipi haitakuja kumpa ulaji kama uwaziri
Uislam hauujuwi wala Kigwangwala haumjui, huna haki ya kuongelea kitu usichokifahamu.Udini unakusumbua sana. Kwa life style ya kigwangala sidhani kama kuna sifa kumtukuza kwa uislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Hi mbona kama kauli ya kutia huruma?View attachment 1411989
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
Nape huyu huyu aliyeingia Ikulu kwa miguu huku analia kilio kikuu?!Kufa na tai shingoni Bashite sijui ana nini duh! akitaka uondoke unaondoka kweli
Ila nimependa ujasiri wake Mwanaume unatakiwa kufa kiume kama walivyo ondoka CAG, Mafuru, na Nape.
sio unaondoka kizembe kama wakina Mwigulu na Lugola.
Fikra zako kwenye ulaji Tu.
Waziri wa Tanzania analipwa shilllingi ngapi?