Mnyonge Namba1
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 402
- 81
Deo filikunjombe ni mlima kilimanjaro , makamba ni kichuguuWana jf,Kufuatia kibano kikali ilichopata serikali toka kwa bunge letu likichochewa zaidi na Makamanda wetu wa CHADEMA,tulijionea wenyewe tofauti kati ya mzalendo halisi na mzalendo wa maneno matupu kupitia ccm.Vitendo ndo njia pekee kudhihirisha contents za mtu husika.DEO alisaini waraka wa Zitto na January hakusaini.
Najiuliza sipati jibu kuwa nani zaidi kati ya wanasiasa hawa vijana?.Sijalenga kumkweza mmoja wao kwakuwa wote hawa kwa pamoja hawamfikii T/Lissu hata robo,bali nimefikiria kizalendo zaidi na sijapata jibu kamili. NAWASILISHA KWENU WANAJAMVI KWA MSAADA WA MAWAZO NA MAJIBU THABITI
Deo ni Mzalendo wa ukwel Hakupitishwa kugombea Ubunge kwa NGUVU ya Baba yake kama alivyo makambaALIVYOMBEBA Mwanae.January Hawezi kuisaliti CCM ya baba yake mfumo uliompitisha ndio unampa jeuri ya kujifanya hivyo.Deo AMEPITISHWA ,AMECHAGULIWA NA WANANCHI apart from Ubunge alikuwa akiishi kwa nguvu zake .
Maswali mengine mazuri. Questionnaire hii ni close eded. Aidha Deo au Maropes...........OK kama untumia SPSS jibu langu ni A. Deo filikunjombe
Kwani Uzalendo wa MPs unapimwa kwa majina 75 ya ZITTO? Ufinyu wa fikra