Sababu zipi zinayafanya mayai yawe super hivi mkuu?Ukitaka uwa vizuri kula sana mayai ya kienyeji. Chemsha mayai matano kila siku ila yasiive kwa muda wa siku 30.
Mayai ya kienyeji ni super food namba 2 duniani baada ya maziwa ya mama.
RamliSababu zipi zinayafanya mayai yawe super hivi mkuu?
Unamshauri afanye ili performance irudi mahala pake ?.Baada ya dawa sasa ndo utakuwa mgonjwa ili ukatibiwe, sasa si hauumwi?
Jaribu kwanza Mechi za Nje. Hali ikiwa mbaya urejee Kwa ushauri zaidi..Pole kwa majukumu wana jamii.
Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu kwa muda wote hivyo kuwa na mwanamke ikaniwia ngumu. Baada ya kumaliza mkataba na kurudi nyumbani nililala na mke wangu vizuri tu, ila nilienda round 3 usiku mzima na baada ya hapo siku zilizofuata nimekuwa nikienda Round 2 usiku kucha na siku nyingine 1 na muda mwingine nakuwa sina hamu nae kabisa hata wiki, leo numeenda hospital na kupewa dawa zinazofahamika kama SAHEAL na kuambiwa nitumie baada ya wiki mbili nirudi kwa dr.
Hoja yangu ni je dawa hizi hazina madhara kwa mtumiaji kwani nilipomueleza dr hakunipima kipimo chochote kile?
Yana madini mengi sana, protein ya kutosha ambayo inaweza kuchukuliwa yote na mwili.Sababu zipi zinayafanya mayai yawe super hivi mkuu?
Vyema Sana umenifungua kitu apa, na kwenye ishi ya jamaa tatizo lake linaondolewa vp kwa kula mayaiYana madini mengi sana, protein ya kutosha ambayo inaweza kuchukuliwa yote na mwili.
Kama kuna kitu mwili haufanyi vizuri maana yake kuna upungufu wa virutubisho au madini fulani mwilini. Mtu anapokula chakula chenye virutubisho vingi basi mwili hurejea kwenye hali yake ya kawaida.Vyema Sana umenifungua kitu apa, na kwenye ishi ya jamaa tatizo lake linaondolewa vp kwa kula mayai
Shukrani Sana mkuu umenifungua Sana na elm yakoKama kuna kitu mwili haufanyi vizuri maana yake kuna upungufu wa virutubisho au madini fulani mwilini. Mtu anapokula chakula chenye virutubisho vingi basi mwili hurejea kwenye hali yake ya kawaida.
Pia muhimu kucheck pressure, sukari kama ipo sawa. Kuna kitu kinaitwa pre-diabetic,mtu anakua amebakia kidogo tu awe mgonjwa wa kisukari. Unakuta muda wote sukari ipo juu huku kongosho likizalisha insulin ambayo haifanyi kazi vizuri tena.
Lishe ndiyo tiba ya kwanza,mtu aache au apunguze kula vyakula vinavyopandisha sukari. Aache pombe,soda,mafuta ya kupikia na bidhaa zote za viwandani huku akila protein zaidi.
Tupo kama gari tu,ukiweka mafuta machafu kwa tank itaanza kuleta misfire. Inabidi umwage mafuta,usafishe pia line nzima ya mafuta mpaka kwenye engine. Ukiweka mafuta mapya chuma inateleza.