TheCrazy Mchokozi
Senior Member
- Apr 7, 2017
- 181
- 252
- Thread starter
-
- #21
Nafikiri hapa umeleta nadharia nzuri ya burial...Ni wazi kabisa kuwa misiba ya kimagharibi ni gharama mno na inapoteza sana rasilimali,mara mbao sijui vyuma sijui zege yaani ujinga ujinga tu.Mimi nikifa bora tu nichomwe moto,kwanza inasaidia kuokoa maeneo,wenyewe mnaona sikuizi jinsi viwanja vya makaburi vinavyojaa.
Ila kuna wanasayansi wa Italia wamegundua mbinu nyingine ya kuzika maiti,unazikwa kwenye kitu chenye umbo la yai ukiwa umewekwa position ya mtoto kwenye tumbo la uzazi,halafu hapo juu unapandwa mti.hiko chombo kimetengenezwa kwa material ambazo zinaoza haraka.Kwa njia hii naona ntakua naendelea kuishi nikiwa kama mti,sababu mti utakula virutubisho vinavyo tokana na kuoza kwa mwili.
Hii itapendeza sana,kwani sasa makaburini kutageuka msituni na kusababisha utengenezwaji wa mvua.
Kwa undani zaidi soma Biodegradable burial pod turns your body into a tree - CNNView attachment 806217
Kiungo changu simuachii mtuTatizo ni taratibu za kiimani ambazo tumekua nazo. Mimi kwa mawazo yangu binafsi huwa nawaza nikifa nitoe sadaka viungo ambavyo vinaweza kutumika kwa watu wengine walio hai na kitakachobaki basi kikachomwe tu. Sidhani kama roho ikishatoka kiwiliwili huwa na thamani tena.
Mkuu unajua faida ya maiti inayoozea vumbiniKwa wale wasiojua cremation ninini ......ni kuchoma moto mwili wa mfu kulingana na tamaduni husika
Binafsi naipenda kwakuwa tunaipunguzia ardhi kuilisha uozo na uvundo laana na mabalaa
Nafahamu fika ila ni sehemu ndogo sana tofauti na mizoga ya wanyama inayoozea ardhini kila siku....Mkuu unajua faida ya maiti inayoozea vumbini
Kama una gari sidhani kama ungekubali hili [emoji106]
kudonate viungo Kwa watu wenye nia njema si vibayaUmedadavua vizuri kwa kuelezea 'The Recycle in the Ecology' kwamba viumbe tunategemeana katika mazingira
Ila pia kwenye cremation yale majivu yakitupwa baharini samaki wanapata chakula
Kwenye 'reincarnation'aya ni masuala ya kiimani sana na sina elimu sana katika swala hili ila nafiri ata kuyatupa majivu baharini au hewani au msituni ni njia ya kusambaza roho yako (kwa kuzingatia imani sio sayansi)
Ila mkuu; huoni kama tukiacha viungo vyetu vioze tu sio haki na kuna baadhi ya wanaobaki wanavihitaji
Je ingekuwa vizuri 'ku-donate' baadhi ya viungo kama macho,figo au ini kwa wachache waliobaki alafu mwili uliobaki ukachomwa
Kabisa mkuu.Mkuu Hili Pia Nilitaka Kulizungumzia
Kuliko kuacha Macho yaoze, Figo zioze, Mapafu yaoze mbona watu wasingekubali kwamba viungo ivi vitolewe sadaka kwa waliohitaji
Lakini kama unavyosema 'IMANI' zimetufunga pia tunaamini kwenye kuzikwa na kuoza na kila kitu
Wazo zuri sana Mkuu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hii ni sawa na kusema sitoi sadaka kwa sababu inaweza kwenda kutumika vibaya. Ni wajibu wetu kutoa sadaka ila suala la imetumikaje haikuhusu.Kiungo changu simuachii mtu
Je figo au ini lako akipewa mwanamke malaya ?
Anaenda kudanga huko
Na hili ndilo Jibu Sahihi.Dunia iliumbwa kwa namna ya pekee sana na namna hiyo ni kurecycle kila kitu kilichopo juu ya mgongo wake.
Binadamu, wanyama au kiumbe hai chochote kinapokufa minyoo wanawahi kuchukua viini lishe na kusambazia ardhi then ardhi inapokea na kuipa mimea ili iistawi na binadamu wengine wale na kurutubisha miili yao. Hivyo kuzika ardhini kunawapa fursa minyoo kusambaza vile viini lishe kwa binadamu waliobaki then maisha yanazidi kustawi Duniani.
Hata mvua hajawahi kuja mvua mpya ...maji ni yale yale kutoka baharini na Kwenye maziwa yanapanda juu kama mvuke then yananyesha baadae kama mvua tena..and the cycle continues.
Hivyo kuzikwa ardhini ndio njia sahihi kabisa ya kuifanya Dunia iwe sustainable maana si ajabu roho ni zile zile zinajirudia Duniani bila kujua maana ukizaliwa unakuwa una kumbukumbu ya unapotoka na kwa vile God ana recycle kila kitu...probably souls and spirits zetu zina reincarnate tu kwa kwenda na kurudi Duniani.
Na tunapohifanyaga tuna akili zaidi kuliko yeye basi anacheeeeka huko enzini! [emoji23]
God is the beste designer and first infinity genius.
Cc the crazy mchokozi Mshana Jr
HehehItapunguza misukule. Maana miili itachomwa
Nafikiri kisayansi mwili wa binadamu ni dhaifu na mortal... bacteria, viruses,protozoas..na aina nyingine ya vidudu(microbes) vina uwezo wakuuchukua uhai wa binadamuKiuhalisia ni kweli watu wanakufa,ila kwanini kila mtu hufikiri kuwa lazima atakufa?najua sie tuliyo hai tunaona watu wakifa na sie tunajisemea kuwa ipo siku nasi lazima tutakufa,lakini mbona tunaona watu wakiwa mafukara lakini hatusemi kuwa nasi lazima tutakuwa mafukara au tunaona watu waliyopata ulemavu lakini hatusemi nasi tutakuwa walemavu?
Je,kipi kinafanya wote tuone lazima tutakufa(na si vinginevyo) tena bila kujari ni aina gani ya kifo?
Je, huku kufikiri lazima tufe sio imani tu hii?
Je ku-donate kwa mwenye nia nzuri akabadilika akawa mwenye nia mbayakudonate viungo Kwa watu wenye nia njema si vibaya
Ila changamoto ni nia ya binadamu inapokuwa haihanurika..mtalazimishana kufa kisa viungo mpige hela.
Na hilo ndio linaloepukwa
Nafikiri kisayansi mwili wa binadamu ni dhaifu na mortal... bacteria, viruses,protozoas..na aina nyingine ya vidudu(microbes) vina uwezo wakuuchukua uhai wa binadamu
Ila kadri navyo binadamu anapozeeka na seli zake zinazeeka,..
Kifo kipo na sio nadharia ya imani lakini ya kiuhalisia na kisayansi