muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 875
- 545
Naomba kujua tu wakuu , Na hapa sina nia ya kubeza , bali kwa ufuatiliaji wa Karibu kuhusu maambukizi ( cases) Na Vifo ( death ) zilizotokea kwa wenzetu wa Europe Na USA Na huku kwetu Africa .
Naaamini ipo sababu nyingine inayochangia maaambukizi machache Na death chache hapa Africa Mpaka sasa..
Ingawa bado ugonjwa Upo lakini ramli aka Tabiri za mama Bill Gates Na WHO Na hata watu wengi baada ya wagonjwa wa kwanza kuanza kupatikana Africa Na Ulaya mwezi wa Pili Na wa Tatu mwanzoni . Wengi wetu kwa kuangalia trend ile ile ya China Na Italy .. Tuliwminini kuwa katikati ya mwezi wa nne na watano hali itakuwa mbaya zaidi hasa Africa.
Lakini labda Nipo wrong .. Naona Idadi za maambukizi Na Vifo Africa si hivyo kama ilivyotarajiwa.
Nini imekisaidia Africa ? Naomba maoni yenu ..
Angalizo hapa tunazungumzia Africa kwa ujumla Vs Europe and USA Na sio Tanzania