Lissu alitakiwa kufanya political build-up kwa walau mwaka mmoja, kuimarisha chama, kujenga umoja. Wakati anaanza hizi mambo zake za no reform no election, kisiasa alikuwa bado weak akiwa na uadui mkubwa ndani ya chama. Yeye badala ya kukiweka chama pamoja, akaanza kuwatukana na kuwakejeli wenzake.
Kwa sasa anawahitaji wale aliowakejeli ili wamtoe kwenye utando wa buibui mwenye meno makali, na sumu ya kufisha