Je, CHADEMA ni vigeugeu?

Idad ya vit bungen nacho n kigezo, Kama ruzuku inajumuisha Wabunge inaowakataa, 19+1 na inachukua ruzuku yao, tumia akili usiongozwe na emotions 😂😂
 
Naomba kujua je washaabiki na wanachama wa CHADEMA ni vigeugeu au mandumilakuwili?

Kwanini nauliza hivi...ACT Wazalendo walipokubali kujiunga SUKI, walitoa utetezi kuwa sio hisani bali ni ipo kisheria na kikatiba. CHADEMA waliwashambulia sana,
Juzi kuna taarifa zimetoka CHADEMA inapokea ruzuku.

Gazeti la mwananchi lilipowatafuta viongozi wa CHADEMA watolee maelezo , wamepiga chenga,

Huku mitandaoni hasa JF wafuasi wa CHADEMA utetezi wao ni ule ule kama wa ACT, kuwa ruzuku sio hisani bali ipo kikatiba, kifupi wamerudia kulamba matapishi yao . Fatilia kashfa, matusi ,kejeri walizotupiwa ACT baada ya kujiunga SUKI, kutoka kwa wanachama,mashabiki, na viongozi wa CHADEMA kwenda kwa ACT,

Huko TWITTER sijaona cha KIGOGO2014, wala Maria Sarungi, wala shangazi, wala HECHE, wakizungumzia CHADEMA kupokea RUZUKU ya mil 100+ inayotokana na uchaguzi walioukataa,

Kwa staili hiyo, wale kina Halima na wenzake 18 wanazidi kupata uhalali wa kwenda bungeni na itaonekena walionewa, maana UCHAGUZI kumbe ulikuwa halali, kwani why mchukue hela zitokanazo na uchaguzi mlioukataa?

Niishie hapa.
Mbowe ameongelea vizuri sana hili swala.... Issue ya kina Halima Mdee haipewi uhalali sababu haikufuata misingi ya sheria na kanuni zilizopo so whether uchaguzi ni halali au sio halali mchakato uliowapata haukuwa halali.

Hao ACT walifuata taratibu zote kisheria kuwa SUK (hata kma wengi hatujapenda) so hata ruzuku kma wamechukua imefuata taratibu zote kisheria but hao kina halima walijiteua wenyewe na waka collude na serikali/bunge ili wakaapishwe.

So hata itokee leo CHADEMA wakubali ruzuku bado hawawezi verify ubunge wa kina Mdee sababu mchakato haukufuatwa. Na ndio maana Mbunge wa Nkasi hakufukuzwa sababu yye kisheria ni mbunge halali so kma atatimuliwa ni sababu ya ukaidi tu sio kisheria.
 
Back
Top Bottom