Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
- Thread starter
-
- #21
Hakuna cha ajabu hapo mkuu kwa kukusaidia uchaguzi uliopita Chadema walishika nafasi ya pili mbele ya Cuf.
Kwani CUF walipoteza nguvu hapa.Hoja si wingi wa kura ni kushika namba 2 kwa chama cha makafri mbele ya CUF.
Jipambanue wamepata asilimia ngapi?
Isije ikawa ile nimekuwa mtu wa nne darasani kwangu. Pasi na kubainisha kati ya watu wangapi. Inawezekana ukawa wanne kati ya watu wanne.
Ongezeni bidii lakin lazima msome alama za nyakati kama walivyofanya wenzenu na kupunguza majigambo.
Thread ijayo "Wafuasi wa vyama vya UDINI line up"Hiki ni kikundi cha wafuasi wa chama cha udini. Makao makuu ya chama yapo hapa JF mwenyekiti wao Malaria Sugu.
Tukubaliane alikuwepo. Je, udini unasemaje? mgombea wa chadema Uzini alikuwa Mwislamu wajua hiyo?
Tukubaline kitu gani mkuu? Ujue JF sehemu ya porojo ukija njoo na facts na data za kutosha eti Chadema hakuwa na mgombea Uzini uchaguzi uliopita.
Hakuna udini hapo hivi Chadema kupata kura 281 Uzini, ni mafanikio makubwa kwa Chadema?
Na wewe nilikusahau unatoka chama cha udini. Chama cheni cha udini kimepata pigo Uzini wamewaumbua na kampeni zenu za udini.
Thibitisha agenda ya chadema kuwa chama cha ukristo kwa matokeo ya Uzini!!!
Udini ni nini kwani? naomba uafanuzi wako.
Au kuipinga chadema ndio udini?
Jipambanue wamepata asilimia ngapi?
Isije ikawa ile nimekuwa mtu wa nne darasani kwangu. Pasi na kubainisha kati ya watu wangapi. Inawezekana ukawa wanne kati ya watu wanne.
Ongezeni bidii lakin lazima msome alama za nyakati kama walivyofanya wenzenu na kupunguza majigambo.
Dr.Barubaru.
na majonzi swaiba wetu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha.
Chadema hivi nyie mpinzani wenu na CUF au CCM? naona mmeamua kujiliwaza kwa kuishambulia CUF.
Kwenye uchaguzi wa Uzini Chadema ndio wamepoteza zaidi kuliko CUF kwanza mnatakiwa mkumbuke Chadema walishika nafasi ya pili katika jimbo ilo uchaguzi uliopita sijui kama unalijua ilo.
Kura za Chadema zinazidi kupungua tofauti na uchaguzi uliopita.
Inna lillahi wainna ilaihi rajihunna.
Huu ni muswiba mkubwa sana.
Kwa kosa gani alilofanya mpaka kupigwa BAN ya maisha?
Inna lillahi wainna ilaihi rajihunna.
Dr.Barubaru.
Huyu jamaa kwa kweli hata mie nimeshindwa kumuelewa na mada yake ya udini.
Chadema wamepta 4% yeye kwake ni mafanikio sijui CCM waliopata 91% sijui watasemaje, na majonzi swaiba wetu FaizaFoxy kapigwa ban ya maisha.
Udini ni nini kwani? naomba uafanuzi wako.
Au kuipinga chadema ndio udini?
Chadema inabidi wajitafakur kama watakuwa chama makini na viongozi makini.
Wasitafute mchawi kwa kushindwa kwao. Mchawi ni kauli zao Bungeni na nje ya bunge kuhusu Znz na waZnz. Vile vile walitakiwa wasome alama za nyakati kuhusu siasa za Znz.
Lakin la mwisho viongozi wawe na huruma na pesa za posho walizo zoa kule Uzini. Kwani walijua kabisa wanashindwa bali waliongopa kuwa wana nafasi kubwa ya kushukua jimbo hilo.
Nafikiri sasa ni wakti wa kuwachukulia hatua kali viongozi walioweka kami Uzini na kuzoa posho bila kusema ukweli kuwa hakuna uwezekano wa kushinda. Chini ya 5% ni aibu kubwa sana ka Chadme na watendaji wakuu waliweka kambi huko.
we Hamza, siku ile kampeni zinaanza ulituambia chadema walikuwa kanisani wakihamasisha waumini wakitoka waelekee kwenye kampeni, leo unauliza nini!?