M Mr Emmy JF-Expert Member Mar 12, 2012 1,219 550 Apr 24, 2012 #1 Namnukuu Mbowe " sisi Chadema ni kama Barcelona tunapanda kushabulia wote, tunapiga kiungo cha kati na tunarudi kulinda goli kwa Pamoja". Najiuliza msemo huu utaendelea kutumika kwa sasa au umepitwa na wakati? maajabu chelsea iliyo majeruhi kama CCM kuishinda barcelona na kuitupa nje. Poleni sana Barcelona wa Kibongo sasa turudini kujadili siasa zetu zinazovuma kama upepo wa kusi na jangwa la sahara
Namnukuu Mbowe " sisi Chadema ni kama Barcelona tunapanda kushabulia wote, tunapiga kiungo cha kati na tunarudi kulinda goli kwa Pamoja". Najiuliza msemo huu utaendelea kutumika kwa sasa au umepitwa na wakati? maajabu chelsea iliyo majeruhi kama CCM kuishinda barcelona na kuitupa nje. Poleni sana Barcelona wa Kibongo sasa turudini kujadili siasa zetu zinazovuma kama upepo wa kusi na jangwa la sahara
Judi wa Kishua JF-Expert Member Apr 15, 2012 1,066 1,047 Apr 25, 2012 #2 Kwani ujaona yaliyotokea jana?? Pinda kacheza kama Torres dk za mwishoni kamaliza mchezo...watu kimyaaaaa!
Kwani ujaona yaliyotokea jana?? Pinda kacheza kama Torres dk za mwishoni kamaliza mchezo...watu kimyaaaaa!
T TUJIULIZE Member Jan 3, 2012 9 0 Apr 25, 2012 #4 Torreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeesssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
DCONSCIOUS JF-Expert Member Oct 4, 2010 1,269 473 Apr 25, 2012 #5 Mfano unaweza kubadirika kutokana na wakati ,matukio na mazingira.
N ndomyana JF-Expert Member Jan 24, 2012 5,511 2,034 Apr 25, 2012 #6 Ccm ndo baca make wote wanashinda kwa kuchakachua, tofauta ni kwa mmoja anaiba kura, mwingine anategemea penart na redcard ila wate wanahonga ccm wapiga kura baca wamuzi,. Mmenipata nafikiri jaman
Ccm ndo baca make wote wanashinda kwa kuchakachua, tofauta ni kwa mmoja anaiba kura, mwingine anategemea penart na redcard ila wate wanahonga ccm wapiga kura baca wamuzi,. Mmenipata nafikiri jaman