No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
Na ndio maana kuna M$C ambayo itatapakaa nchi nzima hadi kufikia 2014 nadhani njia itazidi kuwa nyeupe.
Afterall watu wameichoka CCM ambayo inazidi kujiongezea maadui. Madaktari, walimu, Wafanyakazi (hasa wa sekta binafsi), nadhani hadi kufikia mwakani Wakulima na wao wataongezeka kwenye list.
Nimekuwa funny na mwanachama wa Chadema kwa muda sasa. Ninatamani sana 2015 Tuchukue nchi lakini kuna tatizo na challenge kubwa iliyopo mbele yetu. Hatujaweza kujitanua nchi nzima.
Chadema imekuwa maarufu katika Miji na katika Jamii ya wasomi (Hii ni hazina kubwa). Tukumbuke kushinda Uraisi tunahitajika kwenda nchi nzima. CCM wana mizizi mpaka kwenye level ya nyumba moja moja.
Zaidi kura zake zinatoka kwa wananchi wanaowaita "Wakawaida". Hawa wakishavaa Tishirt, Vitenge na Kapelo bila kusahau Pilau na soda huwa hawafikirii zaidi wanawapa kura ya NDIYO.
Lazima kujitahidi kupeleka elimu zaidi kwa hawa watu kuliko watu wa Mijini.
Nawasilisha.
Miaka 3 ni michache sana kwa chadema kujiimarisha na kuchukua nchi....wanahitaji miaka mingine mitano at least....

CDM ichukue nchi ipi? Labda ile ya kaskazini ya Nassari!

Wewe unaishi dunia gani? wakati hata leo uchaguzi ukifanyika cdm tunauhakika wa kuchukua nchi!Miaka 3 ni michache sana kwa chadema kujiimarisha na kuchukua nchi....wanahitaji miaka mingine mitano at least....
Laiti kama ungejua chadema hata uchaguzi ungekuwa kesho wangeshinda.Hapa nilipo nipo Lushoto interior huwezi amini baada ya wk2 nitakujulisha kwamba serikali za vijiji zimejiuzulu,hadi watoto wadogo wanasema ccm iondolwe kwishnei.