Je,CHADEMA ina madiwani wangapi jumla nchi nzima?

MYISANZU

Senior Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
101
Reaction score
19
Naomba kujuzwa kwa hilo ili kuitathmini nafasi ya CDM 2015!
 
nafikiri kwa hapa cdhani kama unaweza kupata jibu la uhakika. jaribu kuwasiliana na uongozi wa cdm
 
Unataka idadi ya madiwani wa kuchaguliwa tu au pamoja na viti maalum?
 
wako 325 pamoja na wale walioenguliwa arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…