Je, CCM ni wanafiki au wasahaulifu?

Je, CCM ni wanafiki au wasahaulifu?

Afadhil kushikia rede utaona ata chupi kuliko kushabikia ccm
 
Moja ya sifa ya kiongozi mnafiki ni UONGO.Mnafiki huwa anaweza kutokwa povu mdomoni kwa kutetea asichoamini.Na viongozi wa namna hii wanafikiri kwa kutumia TUMBO na MIGUU kwani elimu zao,akili zao,uadilifu wao na uzalendo wao huwa LIKIZO.Ubinafsi ukikithiri na akili nayo HUVIA.Ni viongozi ndumilakuwili,viongozi wenye sura mbili.Kiongozi mnafiki ni hatari lakini ndio hivyo wamejaa teele nchini.
 
Njaa mbaya sana aiseee....
Walikua wanatete matumbo yao
Njaa mbaya sana mkuu menena neno kubwa sana, wanasiasa wetu wana njaa kubwa sana, kasoro Dr Slaa waliobaki wote ni njaa tu. Kina Mbowe, Mnyika, Lissu na kina Msigwa hata wachungaji walituaminisha Lowasa ni fisadi lakini baadae wakatuambia ni malaika wa bwana. Kina Nape na wenzake waliisifia serikali ya Kikwete leo wanaiponda hiyo hiyo. nani wa kumwamini?
 
Moja ya sifa ya kiongozi mnafiki ni UONGO.Mnafiki huwa anaweza kutokwa povu mdomoni kwa kutetea asichoamini.Na viongozi wa namna hii wanafikiri kwa kutumia TUMBO na MIGUU kwani elimu zao,akili zao,uadilifu wao na uzalendo wao huwa LIKIZO.Ubinafsi ukikithiri na akili nayo HUVIA.Ni viongozi ndumilakuwili,viongozi wenye sura mbili.Kiongozi mnafiki ni hatari lakini ndio hivyo wamejaa teele nchini.
Sina la ziada bali kusema umenena ukweli, ila la nyongeza waeleze hawa wanaowapigania kina UKAWA kuwa wanataka kulikomboa hili Taifa wakati wamekula matapishi yao.
 
Ili nchi iende vizuri Rais aondelewe kinga ya kutoshitakiwa hii italeta nidhamu. Kuwapata viongozi ka JPM na Mwl. JKN ni nadra Sana.
 
A politician has the ability to foretell what is going to happen tomorrow, next week, next month, and next year. And has the ability afterwards to explain why it didn't happen. Winston Churchill
 
Ni kweli haya Mh Magu japo anafanya kazi nzuri sana.(...ndivyo tulivyoambiwa tumadress mh kabla ya kumkosoa)... Naye alimsifia sana Kikwete na aliwahi kusikika akisema.. Hakuna km ccm! Leo anatuambia eti uzembe uliolelewa na utawala uliopita yeye akiwa mmojawapo eti ndio umetufikisha hapa. Wakati huohuo asilimia kubwa ya mawaziri wske ni walewale wa utawala uloppita. Unafiki mtupu!
 
hata waliopo sasa hivi wapo kwa ajili ya matumbo yao, huwezi kukata tawi ulilokalia, R.I.P Deo Filikunjombe
 
Ili uwe mwanaccm bora ni lazima uwe mwongo , mnafiki , mchumia tumbo na mzandiki .
 
Magufuli mwenyewe wakati wa kampeni alizunguka nchi nzima akisema JK alifanya kazi kubwa sana,leo anasema nchi ilikuwa imeoza(shamba la bibi)
 
Back
Top Bottom