Je, CCM inastahili kupewa muda tena?

Usidanganye hapa. Ridhiwani hajazungumzia mikopo ya kilimo. Hajazungumzia kuchangisha kutoka kwa wafadhili.
Alitoa ahadi kwa kujiamini kuwa anao uwezo wa kutoa trekta 40 kwa wakulima wa vijiji vya Chalinze. Huwezi kutoa ahadi hewa ukitegemea michango ya wafadhili. Atuambie tu hizi ni hela za yale madawa ya kulevya yaliyomwezesha kutajirika kimjini mjini. Usidanganye watu na fursa.
 

Ewe punguani, kusema nna uwezo hakumaanishi kuwa ni lazima atoe fedha zote yeye. Simply ana uwezo wa kuwapatia trekta 40 kwa njia tofauti.

Hivi sijui hizi shule mlienda kujazwa ujinga? huwa nawashangaa sana namna mnavyo argue, halafu utakuta jitu kama linasema mimi nna masters ya uchumi. Mnasikitisha sana.
 
huna lolote la maana recfthremoukr:A S wink:
 
Bibie,
Mimi sijasomea uchumi. Hakusema ana uwezo. Alisema atatoa trekta 40. Afadhali hata Lowassa huwa anadanganya kuwa marafiki zake wamemchangia. Huyu muuza bangi hata hizo akili hana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…