Je, CCM inastahili kupewa muda tena?

Je, CCM inastahili kupewa muda tena?

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
25,260
Reaction score
7,217
Ukisoma thread zimejaa humu ni JK man alone,na aliposhindwa wanaambiwa ni wanaomwonea donge wanamrudisha nyuma.Mengine yaliyobaki ni CCM Imeshindwa na hadi sasa kwa hotuba za wana CCM,viongozi na wafuasi wao,wapambe na mamluki kila kitu ni JK.Logically JK kamaliza Muda wake na CCM haina cha kujivunia kuwa imefanya.Ila wana CCM kwa ujinga na upumbavu wanataka tulazimishia kusikiliz alogic ya kijinga.Kuwa JK ndie kafanya kila kitu na si CCM na ushahidi wanaotoa ni kwamba CCM ktk miaka 50 hawajafanya kitu ila JK alipokuja kafanya kila kitu.Halafu wana switch sides haraka na kutuambia tuendelee kuwa na CCM. Sasa ktk huu mtanange wa CCM /JK Jk ndie kashinda na anaondoka kwanini sasa wana CCM wafikiri,mchango wake urithishwe kwa mpinzani wake CCM.Ingawa dunia ya leo kila mchi inajengwa,hata somalia,hata Yemeni,na nchi nyingine nyingine zenye vita au zisizo na serikali.Hivi CCM iliyoshindwa na JK ktk aliyeisubiri itembee miaka zaidi ya 40 mbele na akaja ipita ktk miaka chini ya 10 tena kwa macho ya Wana CCM kweli inastahili kupewa tena muda?Naombeni msaada wenye akili timamu na wasio na hasira km mimi.
 
JK ameleta maendeleo kuliko marais wote waliotawala nchi hii...

Leo unapata bundle ya bure AIRTEL unakesha Kama popo zamani ungeipata wapi?

hata watoto ulowazaa hovyo kijijini wamepelekewa elimu ya sekondari shule zimejaa walimu Leo vijijini wanazungumzia umeme wewe wa wapi?

MNAPOTEZA NGUVU NYINGI KUMCHAFUA JK KWA UZANDIKI WENU LAKINI HATA MAWAKALA WENU WANAJUA JK NI JEMBE
 
JK ameleta maendeleo kuliko marais wote waliotawala nchi hii... Leo unapata bundle ya bure AIRTEL unakesha Kama popo zamani ungeipata wapi? hata watoto ulowazaa hovyo kijijini wamepelekewa elimu ya sekondari shule zimejaa walimu Leo vijijini wanazungumzia umeme wewe wa wapi? MNAPOTEZA NGUVU NYINGI KUMCHAFUA JK KWA UZANDIKI WENU LAKINI HATA MAWAKALA WENU WANAJUA JK NI JEMBE
Haha...Nanchafua JK sio,na kuisafisha CCM.Ha ha......nashukuru kwa mchango, naona unakazia kuwa JK kaleta maendeleo kuliko CCM yote na miaka yote iliyopita.Ndicho ninachosema ,na kukishangaa kutoka kwenu, na kinanishawishi nikubali kuwa hata nyie mnajua CCM haifai. Hilo na elimu naona unazidisha,ningesoma shule za kata nisingeweza fikiri ninavyofikiri.Huwa nikibahatika napita ktk shule za karibu na kungalia notice zao.Sidhani km una kaili timamu wewe mwehu//walimu wao na wanafunzi wao hawajui wanachofundishana .NI ugoro mtupu.
 
JK ameleta maendeleo makubwa hajatokea rais yeyote zaidi yake tangu Uhuru...

Barabara za lami zimeongezeka...umeme unawaka...shule kibao n.k n.k we mwehu useme nini dunia ikuelewe?

JK ni moto wa Kuotea mbali...

Tatizo lenu mnataka kusifia wale mlokuwa na nasaba nao kiimani lakini Mkae mkijua JK jembe
 
JK ameleta maendeleo makubwa hajatokea rais yeyote zaidi yake tangu Uhuru... Barabara za lami zimeongezeka...umeme unawaka...shule kibao n.k n.k we mwehu useme nini dunia ikuelewe? JK ni moto wa Kuotea mbali... Tatizo lenu mnataka kusifia wale mlokuwa na nasaba nao kiimani lakini Mkae mkijua JK jembe
Sikati bishana na wewe kwa vile najua akili zako zipo chini kuliko za fungo yule mnyama anayekunya sehemu moja habadilishi hata km kuna hatari.Muda wote hujaelewa hata unahcobishania na nini kimenadikwa.Kwani suala la marais wote linamtenganisha mwinyi,na kawawa ktk list ya marais na mawaziri wakuu hadi udhani natumia nasaba sijui gani za kijinga zilizowaloga.Kwa taarifaa yako dunia nzima ujenzi unaendelea hadi kw anchi zisizo na misaada na vita.Msumbiji yenyewe vita zimeisha juzi tuu leo wanajenga mbaya, Angola mbaya..sudan, yemeni, somalia, rwanda, kongo etc..kuna nchi za africa hadi wakoloni wao wanazamia nchi kwao kutafuta ajira ...nenda msumbiji, angola etc km hutakuta wareno sanazamia kutafta ajira, kwa wingi sana, ...sijui km JK angeishi huko ingekuweje....Naona hujaongelea misaada inayomwagwa,madini, gesi , utalii etc..Bushi alitoa hela ya historia dunia hata uchina hawajwahi toa, Obama nae, ...bado mwendo wa TZ na nchi za vita hauna tofauti wala adabu.Tembo waliouwawa,ufisadi ,na hela za bure za EPA,bado serikali inadaiwa had na raia wanajipanga ili kutoka..serikali imewakopa na haijui italipa lini. NASHUKURU UMERUDIA TENA JK KAISHINDA CCM ,SASA UREKEBISHE LOGIC YAKO YA NYUMBU INAYOKUAMBIA KUWA JK AFANYE KAZI KULIKO CCM HALAFU CCM IBAKI WAKATI JK ANAONDOKA.WATANZANIA HAWANA TENA SABABU YA KUICHA CCM KWA KAULIZ ZAKO MWENYEWE na Gamba zingine.
 
wewe fungo lusungo. Sasa dhan gani sahihi..kuwa CCM haina shida ila watu wake ....Au watu wake hawana shida ila CCM yenyewe?Kwa maelezo yako ni kwamba CCM inategemea sana rais ajae ili kifanyike kitu ..ndio maana wengine wamepita miaka 40+ ila JK ndio kaifanya kitu.Sasa tuanza bahatisha tena mika 40, atokee JK mwingine? CCM mnaishi ktk ------ ya fikra panapotoka mabaki ya fikra.
 
Sikati bishana na wewe kwa vile najua akili zako zipo chini kuliko za fungo yule mnyama anayekunya sehemu moja habadilishi hata km kuna hatari.Muda wote hujaelewa hata unahcobishania na nini kimenadikwa.Kwani suala la marais wote linamtenganisha mwinyi,na kawawa ktk list ya marais na mawaziri wakuu hadi udhani natumia nasaba sijui gani za kijinga zilizowaloga.Kwa taarifaa yako dunia nzima ujenzi unaendelea hadi kw anchi zisizo na misaada na vita.Msumbiji yenyewe vita zimeisha juzi tuu leo wanajenga mbaya, Angola mbaya..sudan, yemeni, somalia, rwanda, kongo etc..kuna nchi za africa hadi wakoloni wao wanazamia nchi kwao kutafuta ajira ...nenda msumbiji, angola etc km hutakuta wareno sanazamia kutafta ajira, kwa wingi sana, ...sijui km JK angeishi huko ingekuweje....Naona hujaongelea misaada inayomwagwa,madini, gesi , utalii etc..Bushi alitoa hela ya historia dunia hata uchina hawajwahi toa, Obama nae, ...bado mwendo wa TZ na nchi za vita hauna tofauti wala adabu.Tembo waliouwawa,ufisadi ,na hela za bure za EPA,bado serikali inadaiwa had na raia wanajipanga ili kutoka..serikali imewakopa na haijui italipa lini. NASHUKURU UMERUDIA TENA JK KAISHINDA CCM ,SASA UREKEBISHE LOGIC YAKO YA NYUMBU INAYOKUAMBIA KUWA JK AFANYE KAZI KULIKO CCM HALAFU CCM IBAKI WAKATI JK ANAONDOKA.WATANZANIA HAWANA TENA SABABU YA KUICHA CCM KWA KAULIZ ZAKO MWENYEWE na Gamba zingine.

JK jembe chuki utazikwa nazo ukweli utasemwa Daima....

Akili zangu unazoziona ndogo zimenipa GPA kubwa sidhani Kama unaweza ipata...

Akili yangu ndogo imenipa maisha na kazi nzuri Sana hapa mjini...

Nakushangaa wewe unaejitapa Una akili hata kuandika vizuri hujui...

Pole Sana tulia dawa iingie ila tutaheshimiana Sana...

Ule wizi Wa MAGARI ..
Mabenki...ujambazi..na dhulma za kipuuzi za ndugu zenu JK kazimaliza Leo mnawaka hasira Kama moto kuona mmekwama....

Na bado......
 
JK jembe chuki utazikwa nazo ukweli utasemwa Daima.... Akili zangu unazoziona ndogo zimenipa GPA kubwa sidhani Kama unaweza ipata... Akili yangu ndogo imenipa maisha na kazi nzuri Sana hapa mjini... Nakushangaa wewe unaejitapa Una akili hata kuandika vizuri hujui... Pole Sana tulia dawa iingie ila tutaheshimiana Sana... Ule wizi Wa MAGARI .. Mabenki...ujambazi..na dhulma za kipuuzi za ndugu zenu JK kazimaliza Leo mnawaka hasira Kama moto kuona mmekwama.... Na bado......
GPA za UDSM?mWANAFUNZI WA kitila mkumbo,shivji, bashiru, na wajinga wengine wanaodhani kuwa un west ndio akili?Kitili na wajinga wengine si ndio hao hata mwaka hakuna tayari ni vibarua wa wanafunzi wao badala ya viongozi wao.Ndio maana hadi sasa huelewi unachobisha hapa.Mimi ningeuka jambazi sijui hata km kuna Mtu angeweza nizuia...kwa tatifa yako sidhani hata ningeuka kuwa serial killer km kuna mtanzania angenishiaka kuua.I trust my brain na capability ya kufanya lololote anytime km ingegauka kuchukua njia mbaya.JK kamaliza nini wakati wanapishana na Alex massawe na wengine angani na ardhini,na mara nyingine wanashare hotel,barabara, na vitu vingine ktk hii space.NDIO NAWAAMBIA KUWA NYIE HATA TAAHIRA WA KASKAZINI CHUKUI GENERATION MOJA KUWAGEUZA VITUKO.NDIO MAANA SI WEWE TUU MWENYE HOFU KM WASHIRIKINA WASIOJUA KUHUSU MATUKIO MADOGO MANAISHIA KUPIGA RAMLI NA MATAMBIKO.HATA MALAYA NAO HAPA MJINI WANAISHI MAISHA MAZURI SANA KWA UMALAYA WAO, HATA WANOJIPENDEKEZA KWA JK NAO WANAKULA BATA SANA KWA MUDA HUU.SI UNAWASIKIA JINSI WANAVYOONGEA KM JK NA CCM NI VITU TOFAUTI.WENZIO WACHAGA WALISHAMFAGIA HUYO DHAIFU ALIPOTANGAZWA TUU DOM KUWA ANAWAKILISHA CCM... WAKAMPA VISIFA VYA KUTEGA MAONKEY, NAE KWA UPUUZI ALIPOINGIA AKENDA TAFUTA SIFA KWAO. Una hakika kuwa JK alipowaita majambazi wote alikwenda wapiga mkwara au kwenda waomba baraka?
 
Jifunze kuandika...

Dhiki zenu na mirija iliyozibwa na JK imeamsha chuki zenu kwake binafsi na CCM

Mtaunda Sana vyama ila hamtaweza
 
Jifunze kuandika... Dhiki zenu na mirija iliyozibwa na JK imeamsha chuki zenu kwake binafsi na CCM Mtaunda Sana vyama ila hamtaweza
Haha ndio JK anajisifu ktk chamber zenu zilizojaa vikopo na mawe ya kumalizia haja?Mbona sasa idadi ya wahindi na waarabu waliokuwa wametawala hadi wilayani inapungua na wanaongezeka akina mangi.Haha..sidhani km una akili ndogo kihivyo hadi usahau jinsi mnavyobaki wapweke mwisho wa mwaka,hata pa kula msihikaki kunabaki kwa waasia tuu.Wenzio hujibaraguza kuwa fujo na kelele zinaondoka mjini...wanashindwa sema Uhai unatoka.Kwani mliobaki ni wabomoaji na wafujaji tuu.Hata unachoandika hapa ni kwamba JK kazima mirija ya wengine wanaolipa kodi na kutafuta akahamishia kwenu parasites mnyonye wakati wengine wanafanya kazi.OKKKKKKKKKKKKwewe fool.sasa rudi ktk hoja..Nimekubaliana na wewe JK kaishinda CCM...kapu moja la uovu.Ila mwakani JK anakula kona.Na hiyo mirija itabidi ukaze kadi makalio ili uweze suck...JK ataondokan na Li CCM ambalo naona mnajitahidi kuthibisha kuwa halifai.
 
Ha ha

Chuki chuki mlizoea Ku suck enzi za shemeji yenu now JK kawaonjesha joto ya jiwe mna hasira kiama!!!"

Dada yenu Anna kawabeba now mmeshindwaa bebeka roho zawauma mpaka mnajiua na kujirusha maghorofani kwa kushindwa rejesha mikopo mlokua mkipewa bureeee....

Mlikua mnaiba MAGARI na ujambazi mjini Dada anawalinda sasa hivi watoto wa mjini wanapiga business ile mbaya wanaangusha maghorofa kariakoo na mambo makubwa mpaka biashara za mafuta mmebaki kujiua kwa kushindwa rejesha mikopo...

Mlizoea iba mitihani hovyo na kufaulisha shule zenu enzi zile 1-30 zote zenu now Uzi umekaza mnatapika nyongo tuu...

Ha ha ha mtatema nyongo Sana ila adabu mmepata....
 
Ha ha Chuki chuki mlizoea Ku suck enzi za shemeji yenu now JK kawaonjesha joto ya jiwe mna hasira kiama!!!" Dada yenu Anna kawabeba now mmeshindwaa bebeka roho zawauma mpaka mnajiua na kujirusha maghorofani kwa kushindwa rejesha mikopo mlokua mkipewa bureeee.... Mlikua mnaiba MAGARI na ujambazi mjini Dada anawalinda sasa hivi watoto wa mjini wanapiga business ile mbaya wanaangusha maghorofa kariakoo na mambo makubwa mpaka biashara za mafuta mmebaki kujiua kwa kushindwa rejesha mikopo... Mlizoea iba mitihani hovyo na kufaulisha shule zenu enzi zile 1-30 zote zenu now Uzi umekaza mnatapika nyongo tuu... Ha ha ha mtatema nyongo Sana ila adabu mmepata....
Kwa nchi chini ya ccm inaongozwa na wanawake?Basi sidhangai mama ntilie wa chekeches aliyepo ndio anaongoza ktk autopilot?CCM kweli hovyo, yaani mke wa rais ndie kila kitu kuanzia mahakama hadi serikali hadi polisi etc...sishngai akili za kiswahili kwani hata mama siti alikuwa hivyo.Sasa ni mama ntilie . Pengine uswahili wako tuu ndio unakufanya uongee bila adabu, unaleta mifano ya watu walioamua kujiadhibu kwa kupotesza hela za watu walizokopa.Halfu unawaita wezi wakati ni wakopaji na riba zao ndizo zinakufanya uvimbiwe na kujamba kila saa, hadi unakwenda chamba.Hujajiuliza wanaochukua bure huku wakipiga story na majungu ya chuki mbona wanazidi vimbiwa na hawafiiri hata kuwa wanakula jasho ya wengine na wezi. Seminary si wamesoma hadi wenzenu wenye afadhali, walipambana ktk michujo na kufuata ratiba nzuri ya kusoma hakuna misele.Ndio maan wakafaulu.Sasa mmeamua pitisha hadi wachora katuni, wanaoandika bongo flavour ,si tunaona wazazi huku mitaani wanalalamika kuwa hawalipi hata hiyo ada kidogo kwa vile wanajua watoto wao wamefaulu ila hawajui hata kusomamajina yao.Trust me wenzenu watasoma ktk vyuo vyao bora na pubic schools zitabaki nanyi, na si muda mtajikuta waajiri hawawataki tena.Si tunaona huku mitaani.waajiri wa kiislam wanaotaka ufanisi na mafanikio ,huwa wanaajua amfanikio yapo wapi kwa makafiri.Mngekuwa na hiyo akili shule zenu si zisingegeuka kuwa nyumba za wapangaji wa kipemba. Mnaharakisha nilichokuwa nakitaka..Mitihani maalumu ya shule za misheni yenye vyeti maalumu vinavyotolewa kwa kila mwanafunzi hata km atapewa cha serikali. Unasema mafuta, kwani nani kakuambia wengine hawauzi mafuta?Pengine unga unaweza sema ndio mtaji wa haraka wa waswahili.Umejiuliza kwanini tanga nyumba ni bei ya bia na wanazinunua wanaume?Dar na pengine very soon napo watachukua wanaume baada ya hii bure kuisha na kuanza zile fujo zenu njaa kidogo ikija.Migawo y akila mtu apewe chek inaanza na wanaume wananunua tuu.Trust me km nchi itaenda salama...mika 3 baada ya uongozi mpya angalia hali za wenzio..andika ktk diary yao au tumia google tools.Utanikumbuka.
 
JK jembe chuki utazikwa nazo ukweli utasemwa Daima....

Akili zangu unazoziona ndogo zimenipa GPA kubwa sidhani Kama unaweza ipata...

Akili yangu ndogo imenipa maisha na kazi nzuri Sana hapa mjini...

Nakushangaa wewe unaejitapa Una akili hata kuandika vizuri hujui...

Pole Sana tulia dawa iingie ila tutaheshimiana Sana...

Ule wizi Wa MAGARI ..
Mabenki...ujambazi..na dhulma za kipuuzi za ndugu zenu JK kazimaliza Leo mnawaka hasira Kama moto kuona mmekwama....

Na bado......
Una maisha mazuri? Unauza unga nini?
 
Ukiipa tena CCM 5 years tena kwanza deni la taifa litafika trilion 200 yaani utakuta kila mtu anadaiwa milion 50.Sio ajabu hata mawaziri watakuwa wachina kama maliasili pale lazima apewe mchina ili wazidi kuiba Tembo.Kidogo nisahau Tembo tutakuwa tunapata simulizi kama wale wanyama wazamani DINOSAUR
 
Nasubiri nione ushindi wa JK ambayo anaondoka na kushindwa kwa CCM huku wakitakiwa tena ktk mechi ngumu ya 2015,baada ya JK kuondoka.
 
Una maisha mazuri? Unauza unga nini?
Ukimwangalia anadhani maisha mazuri ni kupata hela sawa na bure,bila kujua hata nini unafanya.Soon JK ataondoka na ndoano zote,ndipo hawa kima wataanza lia haswa,kuwa amekuja kiongozi mbaya,sijui mdini,sijui anawafilisha shule etc
 
JK ameleta maendeleo kuliko marais wote waliotawala nchi hii...

Leo unapata bundle ya bure AIRTEL unakesha Kama popo zamani ungeipata wapi?

hata watoto ulowazaa hovyo kijijini wamepelekewa elimu ya sekondari shule zimejaa walimu Leo vijijini wanazungumzia umeme wewe wa wapi?

MNAPOTEZA NGUVU NYINGI KUMCHAFUA JK KWA UZANDIKI WENU LAKINI HATA MAWAKALA WENU WANAJUA JK NI JEMBE

Bundle ya bure unaijua hapo lumumba hiyo elimu ya division 5 naamini kabisa wewe mburula wa buku 7 lumumba hujui athari zake kwa watanzania ila poleni tushaamka usingizi mliotulaza miaka 50 ilyopita haturudii makosa tena
 
GPA za UDSM?mWANAFUNZI WA kitila mkumbo,shivji, bashiru, na wajinga wengine wanaodhani kuwa un west ndio akili?Kitili na wajinga wengine si ndio hao hata mwaka hakuna tayari ni vibarua wa wanafunzi wao badala ya viongozi wao.Ndio maana hadi sasa huelewi unachobisha hapa.Mimi ningeuka jambazi sijui hata km kuna Mtu angeweza nizuia...kwa tatifa yako sidhani hata ningeuka kuwa serial killer km kuna mtanzania angenishiaka kuua.I trust my brain na capability ya kufanya lololote anytime km ingegauka kuchukua njia mbaya.JK kamaliza nini wakati wanapishana na Alex massawe na wengine angani na ardhini,na mara nyingine wanashare hotel,barabara, na vitu vingine ktk hii space.NDIO NAWAAMBIA KUWA NYIE HATA TAAHIRA WA KASKAZINI CHUKUI GENERATION MOJA KUWAGEUZA VITUKO.NDIO MAANA SI WEWE TUU MWENYE HOFU KM WASHIRIKINA WASIOJUA KUHUSU MATUKIO MADOGO MANAISHIA KUPIGA RAMLI NA MATAMBIKO.HATA MALAYA NAO HAPA MJINI WANAISHI MAISHA MAZURI SANA KWA UMALAYA WAO, HATA WANOJIPENDEKEZA KWA JK NAO WANAKULA BATA SANA KWA MUDA HUU.SI UNAWASIKIA JINSI WANAVYOONGEA KM JK NA CCM NI VITU TOFAUTI.WENZIO WACHAGA WALISHAMFAGIA HUYO DHAIFU ALIPOTANGAZWA TUU DOM KUWA ANAWAKILISHA CCM... WAKAMPA VISIFA VYA KUTEGA MAONKEY, NAE KWA UPUUZI ALIPOINGIA AKENDA TAFUTA SIFA KWAO. Una hakika kuwa JK alipowaita majambazi wote alikwenda wapiga mkwara au kwenda waomba baraka?
mdau hasira peleka nyumbani kwako
 
JK ameleta maendeleo makubwa hajatokea rais yeyote zaidi yake tangu Uhuru...

Barabara za lami zimeongezeka...umeme unawaka...shule kibao n.k n.k we mwehu useme nini dunia ikuelewe?

JK ni moto wa Kuotea mbali...

Tatizo lenu mnataka kusifia wale mlokuwa na nasaba nao kiimani lakini Mkae mkijua JK jembe

Nikuongezee mdogo wangu, JK ndiye aliyewafungua kinywa wapinzani na wakaweza kupumua na kupiga makelele , enzi ya mkapa si wange ufyata mkia . JK is very democratic. Lakini wangoje tuu, ajaye hana mchezo nadhani keko itajaa
 
Back
Top Bottom