masanja mabala
Member
- Jul 12, 2013
- 6
- 0
Wantanzania tumeongezewa mzigo wa maisha kuwa magumu hasa kwa baba zangu wa vijijini ambao simu kwao ilionekana kuwa ni huduma nzuri ya mawasiliano sasa line zao watazilipia kwa mwezi kama sehem ya kuongeza pato la taifa.serikali ikasahau kwa makusudu kuwa wanchi bado maisha yao ni ya kubahatisha, huku rasimali za watanzani kama vile maziwa, mito, madini ya kila aina dhahabu,almasi,tanzanite, makaa ya mawe ,gas, nickel, vivutio vya utalii(mlima kilimanjaro mlima mrefu afrika),mbuga za wanyama Ngorongoro,Serengeti,mikumi, ruaha, tarangire n.k, tuna ardhi kubwa ya rutuba mfano mbeya, rukwa ,iringa ambapo ardhi nzuri wamepewa wawekezaji mfano mashamba ya mpunga, chai n.k je serikali haijaona hayo yote.
kulipia simcard ni adhabu nzito kwa mwananchi wa kawaida mfano kama mimi familia yangu tuna line tano kwenye familia kila line nitalipia 1000/=kwa mwezi,=jumla kwa mwezi ni shilingi 5000/=kwa ajili ya simcard tu,sijakatwa makato ya kod ya huduma za mpesa au airtel money. pia ninaishi kwenye nyumba ya kupanga ninalipia 20000/=kwa mwez hatujala bado na bei ya chakula ndio hivyo ni kubwa, bei ya pamba yangu ni 700//kg=haitoshi hatakulipia line moja .je serikari hii haioni hayo yote? tutafakari juu ya taifa letu ambalo halimpi samani mwananchi wa kawaida. kwa mtindo huu maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto ya kufikirika tu!!!!!!!!!!!