Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Akikuvuna unaenda kuimba pambio mchana na usiku, sifa ni kama chakula chake,.... anahitaji byproduct ya binadamu na sio binadamu ni kama ufuge chatu upate ngozi ya kutengenezea viatuHabari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani?
Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa
Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake.
Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ?
Kwa ufahamu wangu Dunia imeumbwa kwa mfumo wa chukua kitu weka kitu
Sasa hizi mvua,Juan,mwezi,mito,maziwa,pumzi,atupaye vyote hivi anapata Faida gani?
Kuku humtazama mwanadamu kama mlinzi wake na apatapo tatizo hukimbilia nyumbani kwa mlinzi wake akiamini atakuwa sarama
Lakini mlinzi huyo huyo ndiye amtafunaye kuku kwa kumchemsha au kumchoma nakuku asijue siku ya kuliwa au kuuzwa na mfugaji wake
Je, hii Ina tofauti gani na mwanadamu ambaye apatapo tatizo hukimbilia kwa mungu/mfugaji wake
Akiamini kuna ulinzi na nimlinzi wake lakini hata hivyo mungu ndiye ajuaye siku yakufa kwa mwanadamu
kama kuku asivyo ijua siku ya kuchinjwa kwake na mwanadamu
Sawa sawa nakuku akimbiliapo kwa mwadamu/mfugaji wake akiamini ni mlinzi wake lakini kumbe ndiye mlaji wake
kwanini watu wema hufa mapema Au watu wema nichakula kizuri cha muumbaji Wetu?
Sawa na vile uendapo shambani kwako ukahitaji mhindi mbichi wa kuchoma
si utahitaji mhindi mzuri,Wenye afya na kuu Acha mbaya usio na afya?
Je, hii nisawa na wabaya kudumu na wema kufa mapema?
Biblia Ina mzungumzia mungu kama Kiumbe mpenda nyama ya kuchoma"
* Rejea kuhusu Sadaka za wanyama za kuteketeza
*Rejea pia kuhusu isaka kukoswa Koswa kupigwa kisu na baba yake kwa ajiri ya kumtolea mungu sadaka
Je, Mungu ni mla nyama za wanyama na watu?
Mungu anaizungumzia Dunia kama shamba na Ana wazungumzia binadamu kama mavuno kwa kusema hivi..
Shambani mwa bwana mavuno nimengi ila watenda kazi ni wachache
Kwanini mungu aifananishe Dunia na shamba?
Na kwanini atufananishe sisi watu na mavuno? Mbona kama biblia Ina tufungua akili hivi
Binafsi namwona mungu kama shetani na shenani kama mungu
Je, Bina damu ni chakula cha anaye itwa mungu?
ISAYA 55:8~9Mungu hayupo.
Binadamu si chakula cha Mungu.
ni kweli kabisa, ndio maana mungu anahitaji sana kuabudiwa. ukielewa vizuri neno "kuabudu" na ukaelewa ishu nzima inayohusu maswala ya nishati (energy) utakuja kuelewa kuwa sio wanadamu tu ila kiumbe chochote ni chakula cha mungu. mtu anapoabudu, nishati inatoka kwake na inaelekea kwa anaeabudiwa ndio maana kwenye ibada inahitajika utulivu na umakini wa akili ili kuwe na ufanisi katika utumaji wa nishati, swala la mungu kudai sadaka ya mnyama pia ni sawa na kumla mnyama huyo kwa sababu kwenye damu kuna nishati ndio maana kafara ya damu ni dili sana kimwili na kirohoHabari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani?
Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa
Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake.
Je umewai jiuliza ni ipi Faida aipatayo mfugaji wa Hawa viumbe wanao itwa bin Adam/ mimi na wewe ?
Kwa ufahamu wangu Dunia imeumbwa kwa mfumo wa chukua kitu weka kitu
Sasa hizi mvua,Juan,mwezi,mito,maziwa,pumzi,atupaye vyote hivi anapata Faida gani?
Kuku humtazama mwanadamu kama mlinzi wake na apatapo tatizo hukimbilia nyumbani kwa mlinzi wake akiamini atakuwa sarama
Lakini mlinzi huyo huyo ndiye amtafunaye kuku kwa kumchemsha au kumchoma nakuku asijue siku ya kuliwa au kuuzwa na mfugaji wake
Je, hii Ina tofauti gani na mwanadamu ambaye apatapo tatizo hukimbilia kwa mungu/mfugaji wake
Akiamini kuna ulinzi na nimlinzi wake lakini hata hivyo mungu ndiye ajuaye siku yakufa kwa mwanadamu
kama kuku asivyo ijua siku ya kuchinjwa kwake na mwanadamu
Sawa sawa nakuku akimbiliapo kwa mwadamu/mfugaji wake akiamini ni mlinzi wake lakini kumbe ndiye mlaji wake
kwanini watu wema hufa mapema Au watu wema nichakula kizuri cha muumbaji Wetu?
Sawa na vile uendapo shambani kwako ukahitaji mhindi mbichi wa kuchoma
si utahitaji mhindi mzuri,Wenye afya na kuu Acha mbaya usio na afya?
Je, hii nisawa na wabaya kudumu na wema kufa mapema?
Biblia Ina mzungumzia mungu kama Kiumbe mpenda nyama ya kuchoma"
* Rejea kuhusu Sadaka za wanyama za kuteketeza
*Rejea pia kuhusu isaka kukoswa Koswa kupigwa kisu na baba yake kwa ajiri ya kumtolea mungu sadaka
Je, Mungu ni mla nyama za wanyama na watu?
Mungu anaizungumzia Dunia kama shamba na Ana wazungumzia binadamu kama mavuno kwa kusema hivi..
Shambani mwa bwana mavuno nimengi ila watenda kazi ni wachache
Kwanini mungu aifananishe Dunia na shamba?
Na kwanini atufananishe sisi watu na mavuno? Mbona kama biblia Ina tufungua akili hivi
Binafsi namwona mungu kama shetani na shenani kama mungu
Je, Bina damu ni chakula cha anaye itwa mungu?
Sisi ni mifugo ya MunguHabari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani?

SIsi binadamu tupo katika mwili wa nyama thus why tunakula nyama...perhaps cuz mungu ni roho nae ana benefit na roho za binadamu.Mtu akifa anzikwa anaoza anaisha wachina na wahindi wanachoma mungu anakulaje?
Mungu hayupo ni fikra tu
Pumba tupu 🚮Binafsi namwona mungu kama shetani na shenani kama mungu