Mimi nadhani ni halali, ingawa inaweza kuwa ghali ukilinganisha na kwingineko duniani- dukuduku zote ulizotoa unakuwa unafahamishwa kabla ya kujiunga, hivyo unapokubali kwa hiari yako kuwa mwanachama wa benki au kutumia huduma fulani unakuwa umependa mwenyewe. Ushauri, usipende kutumia sana ATM card yako, jua matumizi yako kwa mwezi, basi unakuwa na hela ndani kwa ajili hiyo- ikitokea emergency iwe mara moja, mbili kwa mwezi, hivyo utajikuta unatumia wastani wa TZS 6500/- kwa mwezi badala ya 15200/-.Hili ni swali kwa wafanyakazi, wataalamu na weledi wa shughuli za kibenki.
-ATM service charge TAS 350/- kwa kila atumiapo huduma hiyo.
-Monthly service charge TAS 400/-
-Annual card fee 5000/-.
Kwa maelezo hayo BAzazi anaomba kufahamishwa haya;
-Je ni halali yeye kulipa ada hizo?
-Hela wanazopata benki kutokana na kukopesha pesa yake bila ridhaa yake inafanya kazi gani?
-Je wazungu walioanzisha utaratibu wa benki nao wanalipa ada hizo?
-Je huko sio kuwaibia wateja hasa ukizingatia kuwa Bazazi analipa ada isiyopungua TAS 15200/- kwa mwaka.
Sijaelewa hapo aliposema unakatwa Annual card fee 5000, unamaanisha kila mwezi au?
For the last six month nimekuwa natumia ATM thus not using tellers as niko bize.
Sasa apo monthly service charge inakatwa kwa ajili ya nini wakati via ATM daily wanalamba
J Wengi wetu tunaingia mikataba na mambenki kama mazoea tu. (Tuwatumie wanasheria wetu inapobidi, maana lugha nyingi za mikataba hii huwa ya kisheria zaidi)
There is no way banks would make the super profits that they make if they charged you "fair fees.
Ikiwezekana, weka fedha zako kwenye benki ambayo wewe mwenyewe una shea. That way, some of the loot will at least come your way.
Sijaelewa hapo aliposema unakatwa Annual card fee 5000, unamaanisha kila mwezi au?
je kuna anayefahamu interest za hizi bank zatu ktk aina mbalimbali ya account zao walizonazo? ningependa kujua ipi ina interest zaidi ya ipi.
Asanteni