Je, Benki ya CRDB inashirikiana na Wezi wa Mitandaoni?

Huwezi kuchomoa pesa kwa namba tofauti na ulio sajilia wakati wa kufungua account yako ya Bank. Au dogo kajiongeza tu

KAZI ni kipimo cha UTU.
 
Crdb ni majambazi kuna kifanyakazi hakitanisahau
Baada ya kwenda kutoa pesa
Aliona akaunti imenona I akaona bora ajipunguzie milion mbili

Nadhani hatanisahau
 
Wasalaam,

Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.

Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba 0152631907400 zilitolewa TZS 2,800,000.

Mdogo wangu anasema, pesa hiyo ni pesa ilikuwa kwaajili ya mishahara ya wafanyakazi wenzake.

Mdogo wangu yeye hana kadi ya Benki anatumia Simbank tu lakini pesa imechomolewa.

Mdogo wangu ameenda Polisi Dodoma nao wanasema hawana wapelelezi mpaka watoke mikoani.

Naomba uongozi wa CRDB ufuatilie swala hili kwa makini kwani linaipaka Benki yetu pendwa matope sana.

Abdulmajid Nsenkela wewe kama CEO tunakufahamu kuwa wewe ni mtu makini haya yanayoendelea yasipo dhibitiwa CRDB itapoteza Uungwaji mkono chini yako.

Natarajia kuanzia kesho mdogo wangu atarudishiwa pesa yake ili aweze kuwalipa wafanyakazi wenzake kwani wamegoma kuendelea kufanya kazi.

Pesa yote imehamishwa tena imehamishwa kama muda wa maongezi wa pesa yote TZS 2,800,00.

===
Mliokaribu na uongozi wa bank ya CRDB nifikishieni ujumbe wao huu.

​
🙄🙄
 
Yes, nilikausha. Nilichorudi kufanya hapa ni kukufundisha.

Ova
Sasa hapo umenifundisha kitu gani cha maana zaidi ya kuongea utopolo tu,yaani baada ya kuijua Google ndio kila kitu unataka tukafanyie kwa Google,sasa ingekuwa hivyo hata haya majukwaa ya JF yasingekuwepo ingekuwa kila kitu tunamaliza kwenye Google.
Yaani inaonekana wewe hata ukitaka kwenda chooni utaenda kuuliza Google eti hapa njia ya chooni iko wapi😄😄😄
 
Wasalaam,

Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.

Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba 0152631907400 zilitolewa TZS 2,800,000.

Mdogo wangu anasema, pesa hiyo ni pesa ilikuwa kwaajili ya mishahara ya wafanyakazi wenzake.

Mdogo wangu yeye hana kadi ya Benki anatumia Simbank tu lakini pesa imechomolewa.

Mdogo wangu ameenda Polisi Dodoma nao wanasema hawana wapelelezi mpaka watoke mikoani.

Naomba uongozi wa CRDB ufuatilie swala hili kwa makini kwani linaipaka Benki yetu pendwa matope sana.

Abdulmajid Nsenkela wewe kama CEO tunakufahamu kuwa wewe ni mtu makini haya yanayoendelea yasipo dhibitiwa CRDB itapoteza Uungwaji mkono chini yako.

Natarajia kuanzia kesho mdogo wangu atarudishiwa pesa yake ili aweze kuwalipa wafanyakazi wenzake kwani wamegoma kuendelea kufanya kazi.

Pesa yote imehamishwa tena imehamishwa kama muda wa maongezi wa pesa yote TZS 2,800,00.

===
Mliokaribu na uongozi wa bank ya CRDB nifikishieni ujumbe wao huu.

​
Ongea vizuri na mdogo wako.Kama anakunywa ama la
 
Wizi wa mtandao unatumia mbinu nyingi sana ambazo kama sio mtaalam wa electronic fraud ni ngumu kunga'amua njia iliyotumika kutekeleza wizi huo. Kwa wafanyabiashara wa mambo ya fedha nicheki inbox kupata whitepaper inayoelezea kinagaubaga mbinu zinazotumiwa na matapeli na wezi wa mtandao kuwaibia. Huwezi amini tunakoelekea hali ya usalama wa mifumo ya fedha inaenda kuwa mbaya sana kama hatutachukua hatua madhubuti kujifunza mbinu za kujikinga na utapeli huu.
 
Wasalaam,

Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.

Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba 0152631907400 zilitolewa TZS 2,800,000.

Mdogo wangu anasema, pesa hiyo ni pesa ilikuwa kwaajili ya mishahara ya wafanyakazi wenzake.

Mdogo wangu yeye hana kadi ya Benki anatumia Simbank tu lakini pesa imechomolewa.

Mdogo wangu ameenda Polisi Dodoma nao wanasema hawana wapelelezi mpaka watoke mikoani.

Naomba uongozi wa CRDB ufuatilie swala hili kwa makini kwani linaipaka Benki yetu pendwa matope sana.

Abdulmajid Nsenkela wewe kama CEO tunakufahamu kuwa wewe ni mtu makini haya yanayoendelea yasipo dhibitiwa CRDB itapoteza Uungwaji mkono chini yako.

Natarajia kuanzia kesho mdogo wangu atarudishiwa pesa yake ili aweze kuwalipa wafanyakazi wenzake kwani wamegoma kuendelea kufanya kazi.

Pesa yote imehamishwa tena imehamishwa kama muda wa maongezi wa pesa yote TZS 2,800,00.

===
Mliokaribu na uongozi wa bank ya CRDB nifikishieni ujumbe wao huu.

​
Kwani wanaposema usimpatie mtu mwingine taarifa zako za Bank huwa unaelewa nini?
 
Back
Top Bottom