Je, Benki ya CRDB inashirikiana na Wezi wa Mitandaoni?

Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.

Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba 0152631907400 zilizotolewa TZS 2,800,000.
Huyu dogo alipiga monde, akawa anatamba baa moja hapa Dodoma kwamba ana pesa nyingi sana, hivy anaweza kuwahonga wahudumu wote. Baada ya muda alionekana ana goma wakielekea gesti.

Kaa naye umuulize vizuri, kabla ya kulaumu benki.
 
Huyu dogo alipiga monde, akawa anatambua baa moja hapa Dodoma kwamba ana pesa nyingi sana, hivy anaweza kuwahonga wahudumu wote. Baada ya muda alionekana ana goma wakielekea gesti.
Kama kitu hufahamu nyamaza, Mdogo wangu ni Mama wa watoto lakini pia tangu kuzaliwa kwake hajawahi kuonja pombe so be ken.
 
Wasalaam,

Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu.

Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba 0152631907400 zilitolewa TZS 2,800,000.

Mdogo wangu anasema, pesa hiyo ni pesa ilikuwa kwaajili ya mishahara ya wafanyakazi wenzake.

Mdogo wangu yeye hana kadi ya Benki lakini pesa imechomolewa kupitia Simbank.

Mdogo wangu ameenda Polisi Dodoma nao wanasema hawana wapelelezi mpaka watoke mikoani.

Naomba uongozi wa CRDB ufuatilie swala hili kwa makini kwani linaipaka Benki yetu pendwa matope sana.

Abdulmajid Nsenkela wewe kama CEO tunakufahamu kuwa wewe ni mtu makini haya yanayoendelea yasipo dhibitiwa CRDB itapoteza Uungwaji mkono chini yako.

Natarajia kuanzia kesho mdogo wangu atarudishiwa pesa yake ili aweze kuwalipa wafanyakazi wenzake kwani wamehoma kufanya kazi.

===
Mliokaribu na uongozi wa bank ya CRDB nifikishieni ujumbe wao huu.

​
Mkuu unajua msemo "who allege must prove" , jipange uwe well informed.
 
Mbona unatuchanganya au Konyagi ndio imenichanganya? Dogo ana akaunti benki ila hana kadi ya benki anaibiwaje kwenye akaunti yake?
 
Kuna haja ya Mabenki yote kutoa elimu ya kutosha kwa wateja kuhusu miamala mbali mbali inayofanywa,makato yanayofanywa!
Otherwise naona kilio cha wateja kiko karibu benk zote juu ya makato.
 
Angeangalia watu watu wake wa Karibu kwanza kabla kulaumu benki si ajabu wife material nae kaamua kuvuta mpunga akanunue material
 
Kweli CRDB ina wafanyakazi wezi kupitia njia ya mtandao. Mwezi uliopita kiasi cha pesa kilipungua kwenye akaunti yangu na hakuna maelezo yaliyotolewa hadi sasa. Kibaya zaidi mwezi ulioisha (5) wa tano, hawakutuma kabisa statement kama kawaida yao. Naendelea kufuatilia kwa umakini mkubwa kabla ya kuwalipua.
 
Sawa ila hili CEO alifuatilie kwa karibu
 
Back
Top Bottom