Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.
Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.
Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Lisu kaisha waacha solemba wanachama wa Chadema. 85% hawana tena hamu nae na hawataki tena kuongelea habari zake.
Nashangaa mleta mada umepataje ujasiri leo wakuja kumzungumzia mtu aliekikimbia chama chake mwenyewe.
Lisu amekimbia nchi huku Magufuli na Kapilimba wakiwa hawapo madarakani.
Heeeee
Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba. Hajawahi kutoka hata siku mmoja kukana chochote maana ni ukweli mtupu.
Kuna wanaofikiria alikuwa mazalendo na kufuata au kunusa hasira za Raisi bosi wake hivyo hana hatia. Wengine wanasema huwezi kufanya mauaji kwa niaba ya mtu yeyote unatakiwa kufuata katiba. Je leo hii ikigundulika kama wanavyodai anaweza kufunguliwa mashitaka? Na je huyu ni mzalendo au muuaji? Na Je aliapa kwa katiba au Raisi ?
Mimi kwa mawazo yangu na kumjua Magufuli kama kiongozi na kama familia siamini kama alimtuma huyu balozi kuuwa mtu yeyote lakini Magufuli anakuwa na hasira na anaweza kuongea vitu vya kutisha lakini siamini kama anaweza kumpigia simu na kutoa maelekezo kutoka kwenye kinywa chake kwamba fulani apigwe risasi hili ni gumu kuamini. Lakini Magufuli huyo huyo anaweza kuwasamahe na kusema tuko vitani na hawa ni kama wanajeshi wa taifa na hata ingilia kazi yao. Magufuli alikuwa na double personality.
Mnafukua makaburi.

Unajuaje kuwa hana ushahidi!!?Kwa hiyo balozi atoe ufafanuzi gani? Unamu"accuse" mtu huna ushahidi then unataka afafanue?
Angeutoa huo ushahidi bila shaka angeshajibiwa. Acheni porojo zenu bhana.Unajuaje kuwa hana ushahidi!!?
Kwani Lissu yeye ni Yesu?
kwamba kila asemalo ni la ukweli 100%?
Na kama anao ushahidi,ni kwa nini asimpatie mwanasheria wake, Robert Amsterdam,ili awapeleke the Hague,kule Uholanzi ICJ?
Mtu aliyejeruhiwa anakuwa amerukwa akili hivyo hata Lissu,tufike mahali,kutokana na anavyotuhumu bila ushahidi?
Tumchukulie hivyo!
Kila siku humu,mnachafua majina ya watu,na familia zao!
Lissu...Lissu Lissu!
Mfike mahali mjidharau na nyinyi!
Kuna wengi wameumia nchi hii.sio huyo Lissu wenu wa Chadema pekee!
Na kupigwa Risasi isiwe kigezo cha kuwa mkweli au muadilifu!
Au kuwa ndio testimony ya kuupata uraisi.
Tumchukulie Lissu, kama majeruhi wa risasi aliechanganyikiwa....
Yaani kwamba,huenda Dish lake limetingishika kidogo,huenda ndio maana anarudi rudi kwa Daktari mara kwa mara!
Chadema Lissu ni kama Nabii au??View attachment 2525654
Acheni Uzwazwa...tumewachoka sasa!
Mchungaji mzandiki na muongo ni hatari kwa kondoo wa Mungu .Hio katiba alio apa nayo ndio ndani yake kuna takwa la kumheshimu na kumtii rais wa jamuhuri.
Lakini achaneni na propaganda za lisu, yeye ashukuru Mungu yu mzima sasa.
Ikumbukwe pia modestus ni mchungaji.
Huyo 'Raisi' unaye mtaja unamaanisha yupi? Kama ni Mh. Rais, unaye mlenga (bila shaka) hawi addressed namna hiyo!..Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI ili ukweli ujulikane.
Uongo na unafiki ni sifa za kila mtanzania. Sasa ni chaguo lako kukubaliana na uongo wa mtu au kiongozi gani.Mchungaji mzandiki na muongo ni hatari kwa kondoo wa Mungu .
Labda kwa kukukumbusha ni kwamba , Kapilimba na Majaliwa ndio waliosambaza uongo kwamba Magufuli ni mzima na anachapa kazi .
Unadhani walisukumwa na nini ? huyu ndio mchungaji wa kumuamini ?