Je,bado tunahitaji kuendelea?

Je,bado tunahitaji kuendelea?

vitus juma

Member
Joined
May 20, 2015
Posts
98
Reaction score
43
Huwenda swali hilo likawa jepesi kwani jibu lake litakuwa ndiyo lakini ni nini msingi wa kuendelea? Ili mtu aendee kutoka hali furani ya chini kwenda hali ya juu iliyobora nilazima kwanza akubali mabadiliko(changes)yaliyojaa vikwazo na matatizo ya muda mfupi yenye kukatisha tamaa na kuogofya.
Wengi wetu huwa tunashindwa kuendelea kwasababu ya kukutana na matatizo hayo ya muda mfupi kisha tunarudi nyuma 'ili tuendelee lazima tujikane kwanza nafsini na katika miili ni lazima tujivishe ganzi katika ngozi yetu kwakuepuka starehe shangwe na anasa za muda mfupi bali tupambane na changamoto za muda mfupi kuelekea mafanikio ya muda mrefu.
Kwasasa tanzania inapita kwenye giza totoro toka nchi ya utumwani kwenda free state mwalimu mkuu anatuongoza wengine wanajikwaa na kulalamika wengine wanalaani lakini mwalimu mkuu amejipa moyo wa kuongoza safari paspo kuskiliza vilio vyao kwani wengi wawanaolaani wanataka turudi utumwani eti "giza gani hili''bora turudi!!mwalimu mkuu anashangaa .
Naaamini dakika chache giza litatoweka kwani usku haudhidi masaa 11 na sasa ni saa kumi usku katibu kunakucha.
Mlioko dar mkimuona Mwalimu mkuu msalimieni mwambieni safari inaendelea tuko pamoja SKU nikipata nauli kwa miguu yangu ofisini nitakuja.
 
Back
Top Bottom