Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,857
- 9,343
Kwanza shukrani za dhati zimuendee Dr Pombe kwa kuwakumbusha raia kufanya usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi hakika watu walikuwa wamebadilika sana.
Swali ni Je bado huu utaratibu unaendelea huko kwenu. ??
Maana huku mtaani kwetu Leo nimeamkia kazini mtaani sijakutana na kitu kama hicho na siyo Leo ni muda sasa sijaona hii kitu.
Huko kwenu vipi. .???