Je, bado kuna watu wenye mapenzi ya kweli?

Je, bado kuna watu wenye mapenzi ya kweli?

Kwani hapa nachokiandika anaona?

Kama ingekuwa ni kupretend ningepretend kwake ila hapa ningeandika ukweli
Joanah unajua fika kama niko humu ndio maana umeandika, nyodo zote kumbe we ni pretender tu?[emoji848]
 
Hivi bado kuna watu wana mapenzi ya kweli?

My self sina mapenzi ya kweli yaani kwa kifupi simuaminii demu yeyote nikiwa nae afu tukaachana i don't care siumii wala sijutii kwa lolote

Na hii imekuja baada ya kutambua kua wanawake wene mapenzi ya kweli walikufa wote kwene gharika la Nuhu kwa iyo nisijusumbue kutafuta kitu ambacho hakipo

Vp we upande wako unaamini mapenzi ya kweli yapo? na kwanini

Jibu kutoka moyoni na jibu kulingana na uhalisia wa maisha ya sasa yalivo
Wapo Mkuu.
 
Hata ukosefu wa nguvu za kiume haupo, watu hawana hisia za ndani za kimapenzi hivyo wanajikuta wanafanya kwa hisia za mbali sana hivyo kupunguza ashk.
 
Ukitaka amani ya moyo ukiwa na mwanamke usimfatilie ridhika na anachokupa hayo mengine mwachie Mungiu!
 
Joanah unajua fika kama niko humu ndio maana umeandika, nyodo zote kumbe we ni pretender tu?[emoji848]

Baby soma comment yangu ya kwanza...mbona nimeandika nikipenda nimependa kweli
 
Mara ya mwisho kupenda demu ilikuwa mwaka 2010 wakati niko kidato cha tatu.... Tangu hapo sipendi tena demu mi nathaminisha features muhimu tu na kwenda kugegeda ndomu ikihusika bas... Kama ataniganda namtizamia akichomoza makucha yake namuacha aende zake... I don't care
 
Hivi bado kuna watu wana mapenzi ya kweli?

My self sina mapenzi ya kweli yaani kwa kifupi simuaminii demu yeyote nikiwa nae afu tukaachana i don't care siumii wala sijutii kwa lolote

Na hii imekuja baada ya kutambua kua wanawake wene mapenzi ya kweli walikufa wote kwene gharika la Nuhu kwa iyo nisijusumbue kutafuta kitu ambacho hakipo

Vp we upande wako unaamini mapenzi ya kweli yapo? na kwanini

Jibu kutoka moyoni na jibu kulingana na uhalisia wa maisha ya sasa yalivo
Hakunaga
 
Hapo mkuu umefika kwenye level nzuri sana ya uanaume.
Nakushauri kaza mwendo kuna hatua unafuata utaelewa kila kitu.
 
Back
Top Bottom