maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,120
- 4,850
Hivi bado kuna watu wana mapenzi ya kweli?
My self sina mapenzi ya kweli yaani kwa kifupi simuaminii demu yeyote nikiwa nae afu tukaachana i don't care siumii wala sijutii kwa lolote
Na hii imekuja baada ya kutambua kua wanawake wene mapenzi ya kweli walikufa wote kwene gharika la Nuhu kwa iyo nisijusumbue kutafuta kitu ambacho hakipo
Vp we upande wako unaamini mapenzi ya kweli yapo? na kwanini
Jibu kutoka moyoni na jibu kulingana na uhalisia wa maisha ya sasa yalivo